Raisi wa serikalya wanafunzi UDOM amepinduliwa kutokana na ufisadi na kushindwa kututetea sisi wanafunzi atika mambo yetu ya msingi, alishindwa kusimama kama mwanafunzi na akaona dearn of students ndiye aliemchagua maana alieshirikiana naye na kuwajibika kwake;
Kwa kweli kama kijana wa chuo kikuu anakua fisadi akiwa mwanachuo sijui kama atafaa kuihudumia jamii baada ya shule, tunatakiwa kubadilika na kuiga mifano ya wachache ambao ni waadilifu katika taifa