Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 530
rais wa serikali ya wanafunzi udom amepinduliwa nyazifa hiyo kwa kashafa ya ubadhilifu wa fedha za wanafunzi mapinduzi yamefanyika asubuhi hii na raisi wa sasa ni Mpandalume s.j
Ikumbukwe kua rais aliepinduliwa ndio rais wa vyuo vikuu vyote Tanzania (TAHLISO)
ukusanyaji wa sign za wanafunzi unaendelea ili kubariki mapinduzi hayo
Mkuu kabla sijachangia naomba kujua kama na wewe ni Mmoja wa wanafunzi hapo UDOM
rais wa serikali ya wanafunzi udom amepinduliwa nyadhifa hiyo kwa kashafa ya ubadhilifu wa fedha za wanafunzi mapinduzi yamefanyika asubuhi hii na rais wa sasa ni Mpandalume s.j
Ikumbukwe kua rais aliepinduliwa ndio rais wa vyuo vikuu vyote Tanzania (TAHLISO)
ukusanyaji wa sign za wanafunzi unaendelea ili kubariki mapinduzi hayo
UDOM Kiswahili tu kuandika hujui? Nyazifa ndio kitu gani?
marekebisho yako yakowapi wewe wa TEKU au kusoma hujui
Umejua kurekebisha ndio unajibu, hapo huwezi kuandika yakowapi, andika yako wapi,
hahaha ila si umeelewa au na ww ni mmoja wa waliopinduliwa
Tatizo sio kuelewa, tatizo ni kubwa kuliko, nyinyi mlio katika vyuo vikuu mkiandika hivyo wanaosoma chekechea na msingi waandike vipi? Mimi miaka nimetoka huko dogo