MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.
Hali ndiyo hiyo.
Mama yetu Yuko Kwenye Mpira..mnisamehe lakini. Jiwe nilikuwa simpendi Kwa kukiuka Haki za binadamu, lakini haya aliyaweze sana.Inakuwa imeharibika hata ukiwa tayari kutoa njuluku?
Ocean road ukisikia leo matibabu ya mionzi hamna machine ya radiation mbovu, wewe tupia rupia tu.
Chap chap machine inasikia na unapata tiba yako na machine hiyo hiyo.
Siyo siri kuwa kwenye zama za jiwe upuuzi huu ulitoweka.
Inashangaza sana magoli yananunuliwa kwa pesa kubwa huku huduma za afya zimezorota
They dont care about us!MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.
Hali ndiyo hiyo.
MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.
Hali ndiyo hiyo.
Penyeze rupia fyuzi tunatembea nayo kwenye makoti ni swala la kuichomeka tu machine jino mojaMama yetu Yuko Kwenye Mpira..mnisamehe lakini. Jiwe nilikuwa simpendi Kwa kukiuka Haki za binadamu, lakini haya aliyaweze sana.
Mama yetu Yuko Kwenye Mpira..mnisamehe lakini. Jiwe nilikuwa simpendi Kwa kukiuka Haki za binadamu, lakini haya aliyaweze sana.
Afu kuna mtu ananunua magoli ya simba na yanga.MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.
Hali ndiyo hiyo.
Kila Mtanzania anakubali Magufuli ni Rais bora wa wakati wetu.
Kwani Makonda na Sabaya wana shida gani? Au hizi political manipulations zimekuathiri pia!!?Hapo kwenye "kila mtu" na "bora wa wakati wetu" ndipo tunapopishana.
Yapo yake mazuri na hayo tunayakiri waziwazi. Ila yale mengine na yale yenye kuwahusisha washirika wake kIndaki ndaki hawa:
View attachment 2569952
Kwa hakika ni big NO!
Kukubaliana kutokukubaliana si ndiyo ustaarabu wenyewe?
Haya mambo nchi hii yanakera sanaNa fedha zetu nyingine zimepelekwa Uturuki, kama suna, huku watu wanataaabika!
Kwani Makonda na Sabaya wana shida gani? Au hizi political manipulations zimekuathiri pia!!?