Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Every side of US politics has its ugly content.Mbinu chafu za mashoga Democrats hizo. Trump atashinda na zaidi ya kushinda wala hawataamini.
Yaani anaumia legacy yake kufutwa na mtu kama Trump na watu wake na Hillary kuwa watazamaji na sio wanufaikaji wakubwa. Yaani jana wameanza kujadili tena namna ya kuiondoa Obama Care basi miguu itatupwa hata kupitia Russia mradi tu Trump aonekane hafai. Wanajiharibia nchi wenyewe kwa maslahi ya wachache na kuirudisha heshima ya nchi yao itawachukua tena muda. Queen of Chaos hataki kabisa kukubali na navyomuona hata Pence akiwa Rais watamfitini tu manake hata Comey jana kaanza kumuonyesha nae VP kuwa muongo na kuwa alijua kuhusu Flynn toka mwanzo. Its a game worth watching.Obama anajaribu kurusha miguu ya mwisho-mwisho
Naona mwisho wa usupa power huu...getup Russia and China where are you!! Yaani kabibi ka clinton sijuw kanataka nini?
Naona mwisho wa usupa power huu...getup Russia and China where are you!! Yaani kabibi ka clinton sijuw kanataka nini?
Hilary ana mapungufu yake sawa na Trump. Issue hapa ni kuondoa UBEPARI unaokua kwa kasi sana. Swala la Health Care ni janga kwa medium n low class. Ubaguzi unakuwa kwa kasi sana kama enzi za utumwa. Trump ana mazuri yake na mapungufu yake. Somo zuri kwa REPUBLICANS wamuulize Bi May/UKObama anajaribu kurusha miguu ya mwisho-mwisho
hivi snowden hawezi kuwa zao la republican kweli??Yaani anaumia legacy yake kufutwa na mtu kama Trump na watu wake na Hillary kuwa watazamaji na sio wanufaikaji wakubwa. Yaani jana wameanza kujadili tena namna ya kuiondoa Obama Care basi miguu itatupwa hata kupitia Russia mradi tu Trump aonekane hafai. Wanajiharibia nchi wenyewe kwa maslahi ya wachache na kuirudisha heshima ya nchi yao itawachukua tena muda. Queen of Chaos hataki kabisa kukubali na navyomuona hata Pence akiwa Rais watamfitini tu manake hata Comey jana kaanza kumuonyesha nae VP kuwa muongo na kuwa alijua kuhusu Flynn toka mwanzo. Its a game worth watching.
Mabibi kanataka kuiangusha russia either kijeshi au kiuchumi na ndyo mana Putin hakupenda kapite sasa naona kanataka madaraka sio tu kuongoza US bali kuonesha ubabe na ushetani wao.Kabibi kanataka POWER tu,hela kanazo ukisoma The Clinton Cash utaelewa ila sasa kanataka Power na kamefika hapo kwasababu ya connections sasa unavyojua hakuna free lunch kwahiyo zile connections nazo zinataka malipo ya matarajio. Soros na wenzie walitoa hela ili mob queen awe Rais haijawa hivyo.
Sijawahi ona biandamu anapenda power na ameitafuta zaidi ya Hillary napata hofu kuwaza nini kitatokea akiwa Rais wa Marekani.
Ukweli China na Russia navyowaona na safari zao wanajipanga kisawasawa. Wavurugane huko ndani nchi nyingine zijijenge. Hadi muisrael anafanya strategic partnership na Africa kwa kiasi kikubwa zaidi kuna jambo wameliona.
Hilary ana mapungufu yake sawa na Trump. Issue hapa ni kuondoa UBEPARI unaokua kwa kasi sana. Swala la Health Care ni janga kwa medium n low class. Ubaguzi unakuwa kwa kasi sana kama enzi za utumwa. Trump ana mazuri yake na mapungufu yake. Somo zuri kwa REPUBLICANS wamuulize Bi May/UK
Mabibi kanataka kuiangusha russia either kijeshi au kiuchumi na ndyo mana Putin hakupenda kapite sasa naona kanataka madaraka sio tu kuongoza US bali kuonesha ubabe na ushetani wao.
Mkuu sina uhakika ila naamini ni zao la CIA,NSA na labda Mrusi.hivi snowden hawezi kuwa zao la republican kweli??
Michelle kwani wewe ni wa upande wa establishment au kule kwa mzee orange?Mkuu sina uhakika ila naamini ni zao la CIA,NSA na labda Mrusi.
Michelle, sikuwa na maana mapungufu yao yanafanana isipo kila mmoja ana mapungufu. Republicans wana mapungufu so as Democrats.Pakawa nielimishe namna ambavyo mapungufu ya Hillary ni sawa na ya Trump? Trump mja jana na bibi wa establishment toka yuko chuo yeye anatumikia tu establishment.
Ubepari unaondolewaje jamani nauchukia mno ila namna wanavyouondoa siifahamu.
Ubaguzi unakuwa wazi sasa ila sidhani ila utafikia enzi za utumwa haiwezi tokea vile tena naamini
Trump ni mjermani by nature!! Babu yake Trump mzee Drumpf alivo fika US wakamwita jina Trump akazaa mtoto John Na john akapata Huyu Orange Trump haha!Michelle, sikuwa na maana mapungufu yao yanafanana isipo kila mmoja ana mapungufu. Republicans wana mapungufu so as Democrats.
UBEPARI utapungua endapo matajiri watalipa kodi stahiki kuliko sasa matajiri wanasamehewa kodi medium n low class pays more
Watu wameshikwa na kiburi wamekuwa na uthubutu wa kuwaambia watu 'You don't belong here go back to your country' Nani anawapa jeuri hii?
North America si ya wazungu bali ni ya Red Indians. Jamii ya Trump believe wao ndio wazawa halisi the rest mrudi kwenu'
Utumwa upo bado amini hilo!