Rais simama ulikomboe Taifa

Serikari Ina jukumu kurahisisha maisha kwa mtafutaji mwenye bidii, ikiwemo kuboresha huduma bora kwa Raia, Ili kumpa urahisi mpambanaji mwenye bidii kuona unafuu. Lakin serikari inaposhindwa kufanya hayo ndo tunaona maisha yanakua magumu kwa Raia. Hata yule mpambanaji nguvu zake zinazimwa kwa uovuwa serikari.
 
Nia uliyo nayo ya kushauri ni nzuri na sikupingi ila ni Kwa baadhi ya mambo,ila unajua kwanini Kuna serikali inayokusanya Kodi alafu umekieleewa alicho kilalamikia mtoa uzi maana vyote hivyo alivyo vitaja vipo ndani ya serikali inayochukua Kodi kutoka Kwa wananchi.

Mfano atakujenga nyumba nzuri serikali pia inahusika ila sio Kwa asilimia zote ila ni kwakuweka uwiano mzuri wa bei za bidhaa na vipato vya wananchi wake(serikali inajua vipato vya wananchi wake)

kuhakikisha ubora wa umeme,maji,elimu,miundombinu,ambayo vitachoche ufanyaji kazi Kwa bidii pia vipo ndani ya serikali
 
Kinyonge sana ila basi tu
 
Ongeza na sukari bei juu!
 
Umefanya tathmini ya pato la taifa dhidi ya hayo uliyoandika? Au unadhani Rais ana kisima pale ikulu anachota pesa? Tuongeze kodi?
 
Umefanya tathmini ya pato la taifa dhidi ya hayo uliyoandika? Au unadhani Rais ana kisima pale ikulu anachota pesa? Tuongeze kodi?
Mbona kama hili jina chiembe nataka kulifanisha na mtu mmoja serikali
 
Mbona kama hili jina chiembe nataka kulifanisha na mtu mmoja serikali
Umefanya tathmini ya pato la taifa dhidi ya hayo uliyoandika? Au unadhani Rais ana kisima pale ikulu anachota pesa? Tuongeze kodi?
Mbona kama hii comment na hili jina chiembe nalihusianisha na mtu serikalini?

Ila kwa vyovyote vile serikali ina wajibu wa kutupatia maisha bora.

Au aje rais atuambie pato la taifa halitoshi kutupatia maisha tunayotaka na huo uwe mwisho wa matamko ya ahadi za mara ifikapo XX year tutamtua mama Ndoo. X Year umeme tutakuwa nao hadi kuuza nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…