Rais Shein apandisha mishahara kwa 100%

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mh Dr. Ali Mohamed Shein amewapandishia mishahara watumishi wa serikali ya watu wa Zanzibar kwa 100% huku akitoa onyo kali kwa wabadhirifu, watoro kazini na wababaishaji.Ameongea hayo katika viwanja vya Mahonda mkoa wa Kaskazini wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani.

ITV
 
Hongera sheni kwa kuthubutu.Huku bara tumepigwa siasa eti mishahara itaongezeka kwa ongezeko la kawaida la kila mwaka.Yaani hata ukikuta ongezeko la elfu kumi tu ni sawa kulingana namfumuko wa bei?
 
Du siyo vizuri kuwasemea hivyo wafanyakazi angalia hali ya sasa ilivyo sembe sasa ni anasa sukari ndo usiseme halafu hawana hela nyingine ya kutoka popote tukienda kazini kwao watatuhudumia kwa hasira na uchungu, tuwahirumie.
nenda basi kafanye kazi zanzibar,mnapenda kulalamika kama watoto kazi zenyewe hamfanyi kazi kunywa chai na mihogo ofisini
 
Du siyo vizuri kuwasemea hivyo wafanyakazi angalia hali ya sasa ilivyo sembe sasa ni anasa sukari ndo usiseme halafu hawana hela nyingine ya kutoka popote tukienda kazini kwao watatuhudumia kwa hasira na uchungu, tuwahirumie.
Walizoea hela ya bure hao.Kwani mshahara wa mwaka jana na sasa hivi una tofauti gani?sio lazima ule sembe,kuna ugali wa mtama pia.Enzi za nyerere tulikuwa tunatia sukari guru kwenye chai
 
Haijakaa sawa.mana mwenye diploma kwa nyongeza yake anapata zaidi ya mwenye degree.sasa tatizo sijui liko wapi
 
Back
Top Bottom