Rais Samia ziarani Tabora

Rais Samia ziarani Tabora

Kwahiyo mnataka afanye nini? Akae tu Dodoma…Mbona mna nyege mshindo
Sasa nani mwenye nyege mshindo za makalio baina ya yetu na wewe.
Epuka kusoma ili ujibu, jaribu kusoma ili uelewe. Wapi kwenye comment imeandikwa asisafiri???
 
Mkoa wa Tabora vijana na kina mama wapo hoi kwa ufukara...kina baba wao ni pombe za kienyeji kwa kwenda mbele ili maisha yasisimame kabisa....ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo ingawa wamekuwa watiifu kwa chama cha mapinduzu miaka nenda rudi.

Mbao za mninga zimeisha, kilimo cha tumbaku ni hoi bin taabani.. sasa hivi wameambiwa wajaribu korosho baada ya alzeti nayo kushindikana.

Kifupi kuishi Tabora ni kusign kitabu cha umaskini.
Hakuna chimbo la madini?
Hawalimi mahindi? Vipi asali nayo hakuna?
Labda JPM alipotaka kuvuta SGR NA maji kutoka Victoria
 
Sasa TABORA ni fursa yenu kumpa mkubwa wa nchi changamoto zenu za kutokuwa na kasi ya maendeleo kama mikoa mingine,majungu na fitna muweke pembeni Mkoa usonge mbele.

Tabora inastahili kuwa mbali sana, wakubwa wa nchi hii walisoma Tabora,Tabora inaunganisha mikoa kadhaa, ni njia panda ya kwenda Kigoma,Katavi na Rukwa na Mbeya vile vile inapakana na Mkoa wa Shinyanga na Singida!
Umenikumbusha enzi za jiwe
 
Mkoa wa Tabora vijana na kina mama wapo hoi kwa ufukara...kina baba wao ni pombe za kienyeji kwa kwenda mbele ili maisha yasisimame kabisa....ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo ingawa wamekuwa watiifu kwa chama cha mapinduzu miaka nenda rudi.

Mbao za mninga zimeisha, kilimo cha tumbaku ni hoi bin taabani.. sasa hivi wameambiwa wajaribu korosho baada ya alzeti nayo kushindikana.

Kifupi kuishi Tabora ni kusign kitabu cha umaskini.
Dah
 
Kwa mujibu wa RC Batilda,Rais wa JMT Samia S.Hassan anatarakia kufanya ziara ya kikazi mkoani Tabora.

====

TAARIFA:

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani ametangaza Rasmi Kuwa Rais Samia Suluhu Hassan Kuanza Ziara ya Siku Tatu Mkoani Tabora Kuanzia Mwezi Mei 17-05-2022
View attachment 2223046
Sijawah hata kumsikiliza bi samia anafanya nn, aap na kwa nani.
Muhimu kwangu MAGUFULI siyo raisi wa TANZANIA
asante mungu
 
Sijawah hata kumsikiliza bi samia anafanya nn, aap na kwa nani.
Muhimu kwangu MAGUFULI siyo raisi wa TANZANIA
asante mungu
Shida zako ni zako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini?

Uzinduzi wa barabara,Kazi inaendelea 👇

Screenshot_20220514-145031.png
 
Back
Top Bottom