Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?
Mwezi mzima huu hajatulia kbsa
Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaa siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India
Kisha akarejea Dsm hajakaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaa siku nne mfulilizo akifanya ziara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake
Baada ya hapo aliunga safari kuelekea Tabora kuanzia igunga ,nzega had Tabora mjini sikumbuki alikaa huko muda gani
Hajatulia akafika Dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akaitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaa karibu kabisa na zito pamoja na farther Charles kitima .
Hajakaa sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr
Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaa pipa Tena juu kwa juu [emoji1787] kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kuudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae
Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi
Sasa najiuuliza mimi Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo
Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000
Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli ?. kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni .
Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindikana huko kwingine
Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa Igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na Rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45