dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Sawa nitarud kakRudi kwanza darasani ujifunze kuandika kijana
Kwa hyo kutoa maoni yangu Hadi nijue kuandikaRudi kwanza darasani ujifunze kuandika kijana
hivi unajua siku hizi maofisini wanatumia ipads hawana makarabrasha.Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?
Mwezi mzima huu hajatulia kbsa
Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaha siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India
Kisha akarejea Dsm hakukaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaha siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake
Baada ya hapo aliunga safari kuelekea tabora kuanzia igunga ,nzega had tabora mjini sikumbuki alikah huko muda gani
Hajatulia akafika dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akahitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaha karibu kabsa na zito pamoja na farther Charles kitima
Hajakaha sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr
Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaha pipa Tena juu kwa juu [emoji1787] kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae
Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi
Sasa najiuuliza mm Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo
Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000
Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli . kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni
Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindukana huko kwingine
Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
Pole [emoji3]Alikaha, akahitisha, tabora, igunga, dodoma, alikah, hajakaha..!! Mwandiko huu ni hatari kwa afya ya msomaji.
Siyo Kweli mkuu Basi alale tu abane matumizhivi unajua siku hizi maofisini wanatumia ipads hawana makarabrasha.
unajua kuwa Rais anaishi ofisini, ikulu ni ofisini pale, hata usiku wa manane akiamua afanye kazi anafanya, wewe muda huo umelala nyumbani
Pole wewe kwa mwandiko wa hivyo..!!Pole [emoji3]
Asnte msomiPole wewe kwa mwandiko wa hivyo..!!
Kuandika ni kipaji ndugu yanguPole wewe kwa mwandiko wa hivyo..!!
Sasa kama hujui kuandika, na maoni yanatolewa kwa maandishi, ujumbe ulioukusudia utaufikishaje kwa hadhara uliyoikusudia?Kwa hyo kutoa maoni yangu Hadi nijue kuandika
Tanzania Ina wajinga wengi Sana alisikika naibu waziri wa afya ndg Godwin mollel
RAIS NI TAASISI SIYO LAZIMA ASAINI YEYE NDIYO MAANA KUN A MAKAMU W/MKUU NA KATIBU MKUU KIONGOZIRais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?
Mwezi mzima huu hajatulia kbsa
Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaha siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India
Kisha akarejea Dsm hakukaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaha siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake
Baada ya hapo aliunga safari kuelekea tabora kuanzia igunga ,nzega had tabora mjini sikumbuki alikah huko muda gani
Hajatulia akafika dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akahitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaha karibu kabsa na zito pamoja na farther Charles kitima
Hajakaha sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr
Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaha pipa Tena juu kwa juu [emoji1787] kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae
Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi
Sasa najiuuliza mm Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo
Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000
Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli . kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni
Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindukana huko kwingine
Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
Jamani Niulize jambo! mishahara ya watumishi wa UMMA mwezi October 2023 wameshalipwa ?Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?
Mwezi mzima huu hajatulia kbsa
Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaha siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India
Kisha akarejea Dsm hakukaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaha siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake
Baada ya hapo aliunga safari kuelekea tabora kuanzia igunga ,nzega had tabora mjini sikumbuki alikah huko muda gani
Hajatulia akafika dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akahitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaha karibu kabsa na zito pamoja na farther Charles kitima
Hajakaha sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr
Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaha pipa Tena juu kwa juu [emoji1787] kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae
Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi
Sasa najiuuliza mm Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo
Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000
Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli . kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni
Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindukana huko kwingine
Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
Sasa kubali kuwa kipaji hicho huna..!! Tatizo lako ni kwamba unajua kuwa hujui kuandika lakini unabisha kuwa hujui..!!Kuandika ni kipaji ndugu yangu
Kwamba dr namugari kucheleweshwa kwa mshahara ndo kunamfanya ashindwe kuandika vizuri?Jamani Niulize jambo! mishahara ya watumishi wa UMMA mwezi October 2023 wameshalipwa ?
Au hana Habari?
Urais ni mgumu Kwa kweli!Kwamba dr namugari kucheleweshwa kwa mshahara ndo kunamfanya ashindwe kuandika vizuri?