Rais Samia uondoke ikifika mwaka 2025

Nilisema afute Sasa si baada ya kuwa ni mkataba wa ovyo
 
Hoja sio ubaguzi Wala udini hoja ni mkataba wa ovyo
 
Aende tu jmn khaaa hili pigo moja linatosha.Kama ameweza kuumza bandari sidhani kama kuna kitu kwenye hii nchi atashindwa kuuza.Atuache na Tanganyika yetu inatosha arudi kwa Zanzibar akapumzike hiki alichokifanya ni fundisho tosha juu ya watawala kutoka Zanzibar na mtawala mwanamke
 
Invest acha kulaani Rais Ile ni taasisi,je wewe unatenda mema kila siku yaliyo mema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…