Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
Haifanyiki KWA Bahati mbaya hii kitu!Baada ya uwanja wa Mkapa kutia aibu mara mbili kimataifa kwa taa kuzima katikati ya mchezo ,jana tena timu ya Yanga imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege Dodoma baada taa za uwanja kushindwa kuwaka hivyo kulazimisha ndege irudi Dares salaam...
Analengwa nani?Haifanyiki KWA Bahati mbaya hii kitu!
Kuna kete zinasogezwa KWA malengo maalumu!!
Haifanyiki KWA Bahati mbaya hii kitu!
Kuna kete zinasogezwa KWA malengo maalumu!!
Mlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.Analengwa nani?
DaahYule dogo bado anatingisha kipara chake tu kwenye hii wizara. Offcoz anaekibeba kipara atakigharimia mpaka mwisho
InashangazaMlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Slogan yenu inafaa kuwa ni "Jamhuri ya Muunganooo... Wizi uendelee...*
Angalia vizuri kongole zinapigwa wapi humu jamvini kwenye uzi wowote ule unaohusiana na Nishati:Tanesco, Umeme n.k, Elimu: Walimu Shule, kiingereza n.k Keyword "Hatuwezi".
Kama ushasikia Uhujumu uchumi- yanayoendelea sasa(kete kusogezw
Mlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.