Usichokujua ni kwamba chama kimerejeshwa mikononi mwao. Maana yake ni kwamba wana nguvu kuliko wale washamba toka ile Kanda pendwa.Paul Makonda, Ally Hapi, Lengai Sabaya ni vijana wa Magufuli na ni wachapakazi kwelikweli lakini walichafuliwa na matapeli Chadema wakishirikiana na wauza madawa ya kulevya na mafisadi ya nchi hii.
Mwanaume kufurahia kukunwa sio dalili nzur.Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi...
Muda sio mrefu steve mengele atateuliwa kua katibu mkuu ....mashalove nae kua katibu uenezi UWT chama la wasimbe suguRais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi...
Eeh Mnyeti yuko wapi sijui ili waunde ile dream team kiboko ya chadema!Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi....
Unaposema makomandoo wa uchaguzi unamaanisha nini? Kwa mantiki hii Kuna haja ya kuthibitisha tena Kuwa ccm ni wezi? Muda waja mtashangaa!Sabaya anarudi soon. Ni suala la muda tu. Lazima makomandoo wa uchaguzi warudi maana bila hivyo CCM wa mama ni wepesi sana kuliko unyoya
Rais amekukuna? Ebu tuache masihara Rais hawezi kufanya ivoRais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi...
Ndo ujue CCM hawana nia njema na watanzania. Wao wanachoangalia ni jambazi gani ataendelea kuwafanya wabaki madarakani kwa namna yoyote ile.Sabaya Jambazi. Mbona mnapenda watu wenye Record za Uhalifu dhidi ya Wananchi wa Tanzania ndio wawe Viongozi wenu?