Rais Samia tunaomba dawati la kijinsia vituo vya Mwendokasi, jinsia ya kike inapitia mateso

Kama nguo ya kulalia unaenda kupanda nayo kwenye mwendokasi mimi nasema acha udungwe tu.

Vaa gauni lako la kumwagika uone kama kuna atakaekusogelea,mnavaa hovyo likija suala la madhara mnataka kila mmoja asimame na ninyi.
 
Honestly nachukizwa na hii jinsia, kila kitu kulia lia hawaishi kuzua maupumbavu mapya kila siku wanatengenezeza matatizo alafu yakiwaludia wanaanza kutulilia ni upuuzi mtupu
 
Wamejidhalilisha wenyewe sie tunaenda na kile walichoanzisha. Hapa duniani kuna matendo na matokeo. Sasa wee vaa kunyegesha wanaume utapata machizi wanakubambia. Never tempt humans becoz their stupidity knows no boundaries. Huo unyanyasaji ni wakujitakia mbona mbona hatudungi dungi masister au wanawake walijistiri vizuri
Usijisumbue bure kuandika mada ndeefu, jiulize tu mbona watu wengine hatudungi hao wanaovaa hovyo?! Jibu nilishaliweka pale juu…wanaofanya hivyo ni viumbe dhaifu!
 
Sasa tufanyeje mdau? That's the only option.
Think extra wide MR.

Sifahamu hii kadhia inakuwaje lakini naamini inatokana na msongamano! Real option ni kuwa na idadi ya watu na seat (Level Seats).

Ukisema different portion au color buses "Feminists" watazua mengine na kelele ambazo watu hawataki kusikia, hili suala sio la Rais ni sheria ya usalama barabarani kufuatwa. LEVEL SEAT!
 
Kweli kabisa hali ni mbaya sana ndio maana wenzetu nchi za kiarabu hakuna mchanganyiko katika usafiri wa umma ,huku sijui nini kifanyike kupunguza kero hii .
Bora mseme nyie tukisema sisi titaambiwa wadini
Kiukweli sina amani vile tunavyopanda mwendokasi na wanawake mbaya zaidi tunajazana mno

Nikiona hali ile naangalia pale ambapo wapo wa kiume wenzangu kisha naenda kujibanza hapo

Kwenye dini ya uislam kuna hadith ya mtume Muhammad (Salallah Aleih Wasalaam)...." ni afadhali kupigiliwa msumali wa moto kuliko kumgusa mwanamke asiye maharim wako"
 
Jitahidi wawe wameridhia inakuwa haina shida..
Sasa watu tupo ndani ya maji watoto matiti nusu nje na vile vichupi vyao kama tako limevaa lapa kwa nini usibambie mzee na wao wenyewe wanakuganda kabisa
 
Ni heri kuwa na daladala za wanaume tupu au wanawake tupu maana ule mjazo wanaume hutumia ka excuse ya kubambia na madudu Yao kugusa gusa makalio, pia wengine huona ni sehemu ya kutoa haja za mwili kitu ambacho ni kero kwetu sisi wanawake ukichangia ujazaji wa magari Bora itungwe sheria Kali kudhibiti huo ushenzi
 
Mtu yoyote anayejaribu kuhalalisha unyanyasaji wa wanawake na hata watoto kwa kigezo cha mavazi waliyokuwa wamevaa wahanga, basi mtu huyo ni dhaifu sana wa nafsi.
Tena sio tu mdhaifu ni mtu asiyejielewa
 
Ni heri kuwa na daladala za wanaume tupu au wanawake tupu maana ule mjazo wanaume hutumia ka excuse ya kubambia na madudu Yao kugusa gusa makalio, pia wengine huona ni sehemu ya kutoa haja za mwili kitu ambacho ni kero kwetu sisi wanawake ukichangia ujazaji wa magari Bora itungwe sheria Kali kudhibiti huo ushenzi
Mkuu yaani hata ukiona huo ujinga unaofanyiwa,huwezi kumfokea huyo anayefanya ujinga huo?
 
Kuna tofauti kati ya mateso na mafunzo....kumbuka wale makomandoo walikuwa ni mateka....na kupona kwa mateka yoyote ni kuwamtiifu kwa mtekaji.... Au unafikiri komandoo anangozi ya chuma risasi inadunda...hakuna kitu....
 
Back
Top Bottom