Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Tumepunguzwa 2016 unategemea nguvu kazi ya kutoa kitambulisho chako cha 2017 itatoka wapi?Nida pumbav sana, ID tangu 2017 haijatoka
hamna kazi muifanyayo bora mpuuzwe
Tumepunguzwa 2016 unategemea nguvu kazi ya kutoa kitambulisho chako cha 2017 itatoka wapi?Hamna kitu mnafanya nyie watu, since 2017 I've no original ID, Online Copy imenisaidia vinginevyo ningekwama
NIDA na UHAMIAJI ndo watu ambao huwa siwaelewi nchi hii
Nida wafukuzwe wote! Mkiwa kwenye viofisi vyenu na madharau na kuwaona wanaokuja kuhudumiwa hapo kama ma takataka flani, mara muwagombeze, mara mututukane, hamjali hata umri wa mtu kabisa, nimeshuhudia kijana wa miaka kama ishirini na tano wa nida akimtukana bibi wa watu kisa yule bibi kushindwa kufuata maelekezo ya afisa,Tumepunguzwa 2016 unategemea nguvu kazi ya kutoa kitambulisho chako cha 2017 itatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
unampiga boonge la kelb ni bora uweke tu, lockup kuliko dharau za ki kuda kama hizo nakiri hata mimi sijapata hiyo National Identity card mpaka leo hii [emoji1] since 2017 nilivyo jiandikisha ilikuwa kinondoni mpaka sasa wamehamishia kawe hakuna nilicho ambulia zaidi ya Namba ya NIDA pekee hiyo Card nimesha waachia tu [emoji1] bado suala la passport sasa maana nasikia nahuko ngoma ni nzito sana [emoji119][emoji119][emoji119]Sawa ila mkirudi kazini muache dharau wafanyakazi wa NIDA wakat wa vitambulisho mi naenda kupiga picha mtu ananiuliza jina nani huku yeye anachat na kunywa juice akimaliza ndo ananiuliza ulisema unaitwa nani? Yaan nilijieleza had nikachoka
Afu online copy wameifuta aisee ni Nyoko sanaHamna kitu mnafanya nyie watu, since 2017 I've no original ID, Online Copy imenisaidia vinginevyo ningekwama
NIDA na UHAMIAJI ndo watu ambao huwa siwaelewi nchi hii
Huwa bado najiuliza kwa nini huwa wanahisi kila anayekwenda kujiandikisha hajasoma?Mie niliandikishwa kwa mateso ila hadi leo sijapata ID, nikirudi kwa mtoa mada nakushauri endeleeni kudai stahiki zenu ila hakuna kurudi kazini ni wazembe nyie
Sawa mkuu!Sawa ila mkirudi kazini muache dharau wafanyakazi wa NIDA wakat wa vitambulisho mi naenda kupiga picha mtu ananiuliza jina nani huku yeye anachat na kunywa juice akimaliza ndo ananiuliza ulisema unaitwa nani? Yaan nilijieleza had nikachoka