PostGE2025 Rais Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi

PostGE2025 Rais Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,267
Reaction score
13,891
Mama Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi!!.

Serikali yako ndiyo inateka, imeuwa vijana, ina ufisadi mkubwa, inaiba kura kwa Watanzania. Usilaumu nchi nyingine kwa matatizo yako binafsi. umeajiri watoto wako, marafiki wa wezi wenzako halafu unasema kama vile tatizo ni Tanzania si kweli . Tatizo ni wewe. Kesi ya ICC sio ya Tanzania ni yako na wapambe na machawa wako
 
Umesema jambo kubwa sana.

Hata huko ICC atatakiwa kutetewa na kusimamiwa na Wakili binafsi na siyo Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Mama Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi!!.

Serikali yako ndiyo inateka, imeuwa vijana, ina ufisadi mkubwa, inaiba kura kwa Watanzania. Usilaumu nchi nyingine kwa matatizo yako binafsi. umeajiri watoto wako, marafiki wa wezi wenzako halafu unasema kama vile tatizo ni Tanzania si kweli . Tatizo ni wewe
Yaani leo ndiyo kadhihirisha ukilaza wake siyo kwa mashudu yale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom