Kuna malalamiko mengi yanayojitokeza kati wa Mwanachama mchangiaji anapopata huduma,Mfuko wenyewe NHIF kama mlipaji, na watoa huruma. Huu ni utatu mchafu.
Mwanachama anapoenda kupata huduma za kiafya sehemu husika kuna huduma anazozipata hazilingani kabisa na gharama NHIF itakazolipa kwa mtoa huduma. Yaani hapa mgonjwa Mwanachama wa NHIF anaweza tibiwa kwa gharama anazoweza kuziona labda Tsh 9000. Lakini kinachopelekwa NHIF ni tofauti na hiyo gharama aliyoiona mteja.
Hilo jipu kama sii ukanjanjaNimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za Serikali,nikimaanisha michango ya wanachana kuwa ni pombe ya ngomani kila mmoja anajichotea tu.
Kuna malalamiko mengi yanayojitokeza kati wa Mwanachama mchangiaji anapopata huduma,Mfuko wenyewe NHIF kama mlipaji, na watoa huruma. Huu ni utatu mchafu.
Mwanachama anapoenda kupata huduma za kiafya sehemu husika kuna huduma anazozipata hazilingani kabisa na gharama NHIF itakazolipa kwa mtoa huduma. Yaani hapa mgonjwa Mwanachama wa NHIF anaweza tibiwa kwa gharama anazoweza kuziona labda Tsh 9000. Lakini kinachopelekwa NHIF ni tofauti na hiyo gharama aliyoiona mteja.
Mtoa huduma naye akishapeleka hizo gharama zake alizozitoa kwa huyu Mwanachama wa NHIF,sizo atakazolipwa na NHIF.
Huyu anaweza kupeleka madai ya Tsh 9000 ile na akalipwa Tsh 6000 kama si 5000. Na NHIF hutoa sababu mbalimbali za hayo makato ikiwa ni pamoja na Mdai kuambia kuwa kuna dawa au vipimo kavitoa kimakosa au bila usahihi
Mtoa huduma akirudi kwenye mwongozo unaomtaka ahudumieje,anakuta yuko sahihi kabisa.
Sasa hapa ndipo tatizo linapoanzia, Mtoa huduma anajikuta anaingia kwenye ukurasa mwingine wa kujaza form tofauti na aliyoitoa kwa Mteja aliyemtibu na kujaza nyingine yenye gharama za juu ili kufidia hayo makato yasiyo na tija wayafanyayo NHIF. Wizi unaanzia hapa.
NHIF naye anapopelekewa hizo gharama zisizo sahihi kama kawaida yake atakata anavyojisikia na kurejesha kwa mtoa huduma anachoona kinamfaa.
Huko NHIF haijulikani kama wanavyompa mtoa huduma ndivyo vinavyokuwa sahihi na kwao!!!!? Hilo ni jambo la huko. Nako kwa kumulika.
Huu utatu mchafu unamuumiza zaidi huyu mchangiaji maana hii sio NSSF ambako atakuja kupigiana hesabu na mwajili apate chake sahihi.
Ushauri
NHIF ikiwezekana wajenge vituo vyao vya kutolea huduma hizi kwa wanachama wao ili kusiwe na hili la Mwanachama kupata huduma zisizoendana na uhalisia wa alichohudumiwa maana imekuwa ni tatizo kwelikweli.
Kama wanakusanya michango ya kutosha isiyo na rejesho kwa Mwanachama.,Basi wanao uwezo wa kujenga vituo na wanachama tukapata huduma sahihi kwao kuliko tunayofanyiwa huku walikotoa tenda za kutibiwa ambako ni upigaji mwanzo mwisho.
Wanaajiri Madaktari na kuwezesha kukopesha vituo vya kutolea huduma hivyo wanaweza kuyafanya haya yoote wao wenyewe NHIF. Waige kwa NSSF nk wanaojiwekezea kwenye miradi mingi kwa manufaa ya mfuko na wanachama wao.
Kumbuka kuna Mkurugenzi wakaati wa Kikwete (iliandikwa sana humu) alituhumiwa kumhonga shangingi Waziri mwenye dhamana ya tiba ili amteue tena kusimamia hiyo bimaHii NHIF ni chatu kubwa sana. Sijui serikali haijui au ndiyo hizo business as usual. Inakera sana! Serikali ilifanyie kazi hili mapema.
Nimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za Serikali,nikimaanisha michango ya wanachana kuwa ni pombe ya ngomani kila mmoja anajichotea tu.
Kuna malalamiko mengi yanayojitokeza kati wa Mwanachama mchangiaji anapopata huduma,Mfuko wenyewe NHIF kama mlipaji, na watoa huruma. Huu ni utatu mchafu.
Mwanachama anapoenda kupata huduma za kiafya sehemu husika kuna huduma anazozipata hazilingani kabisa na gharama NHIF itakazolipa kwa mtoa huduma. Yaani hapa mgonjwa Mwanachama wa NHIF anaweza tibiwa kwa gharama anazoweza kuziona labda Tsh 9000. Lakini kinachopelekwa NHIF ni tofauti na hiyo gharama aliyoiona mteja.
Mtoa huduma naye akishapeleka hizo gharama zake alizozitoa kwa huyu Mwanachama wa NHIF,sizo atakazolipwa na NHIF.
Huyu anaweza kupeleka madai ya Tsh 9000 ile na akalipwa Tsh 6000 kama si 5000. Na NHIF hutoa sababu mbalimbali za hayo makato ikiwa ni pamoja na Mdai kuambia kuwa kuna dawa au vipimo kavitoa kimakosa au bila usahihi
Mtoa huduma akirudi kwenye mwongozo unaomtaka ahudumieje,anakuta yuko sahihi kabisa.
Sasa hapa ndipo tatizo linapoanzia, Mtoa huduma anajikuta anaingia kwenye ukurasa mwingine wa kujaza form tofauti na aliyoitoa kwa Mteja aliyemtibu na kujaza nyingine yenye gharama za juu ili kufidia hayo makato yasiyo na tija wayafanyayo NHIF. Wizi unaanzia hapa.
NHIF naye anapopelekewa hizo gharama zisizo sahihi kama kawaida yake atakata anavyojisikia na kurejesha kwa mtoa huduma anachoona kinamfaa.
Huko NHIF haijulikani kama wanavyompa mtoa huduma ndivyo vinavyokuwa sahihi na kwao!!!!? Hilo ni jambo la huko. Nako kwa kumulika.
Huu utatu mchafu unamuumiza zaidi huyu mchangiaji maana hii sio NSSF ambako atakuja kupigiana hesabu na mwajili apate chake sahihi.
Ushauri
NHIF ikiwezekana wajenge vituo vyao vya kutolea huduma hizi kwa wanachama wao ili kusiwe na hili la Mwanachama kupata huduma zisizoendana na uhalisia wa alichohudumiwa maana imekuwa ni tatizo kwelikweli.
Kama wanakusanya michango ya kutosha isiyo na rejesho kwa Mwanachama.,Basi wanao uwezo wa kujenga vituo na wanachama tukapata huduma sahihi kwao kuliko tunayofanyiwa huku walikotoa tenda za kutibiwa ambako ni upigaji mwanzo mwisho.
Wanaajiri Madaktari na kuwezesha kukopesha vituo vya kutolea huduma hivyo wanaweza kuyafanya haya yoote wao wenyewe NHIF. Waige kwa NSSF nk wanaojiwekezea kwenye miradi mingi kwa manufaa ya mfuko na wanachama wao.
Pamoja na usomi wao hawajui kama umewalipa in advanceUpande huo kuanzia anaepokea kadi mapokezi mpaka daktari wanakuchukulia kama umeenda kuomba msaada.
Hakuna kitu kama hicho ndugu. Natibiwa maemeo makuu ya afya hapa nchini ninachopata ni taarifa tu kuwa nimetibiwa. Lakini si kikokotoo cha gharama nilizotibiwa. Hizi za tiba napewa kwenye form tu. Lakini kiendacho huko ni tofauti. Labda kama wewe unalijua hilo basi utakuwa NHIF servant."Mwanachama anapoenda kupata huduma za kiafya sehemu husika kuna huduma anazozipata hazilingani kabisa na gharama NHIF itakazolipa kwa mtoa huduma. Yaani hapa mgonjwa Mwanachama wa NHIF anaweza tibiwa kwa gharama anazoweza kuziona labda Tsh 9000. Lakini kinachopelekwa NHIF ni tofauti na hiyo gharama aliyoiona mteja".
Hii kwa sasa ni ngumu kidogo kwa sababu: kwa sasa ukitibiwa mgonjwa wa NHIF taarifa za gharama zilizotumwa NHIF kwenye mfumo zinakwenda pia moja kwa moja kwa aliyepewa huduma.
Hivyo, uliyepewa huduma, una nafasi ya kuwajulisha NHIF kuwa huduma uliyopewa si ya kiasi kilichopelekwa kwao/NHIF.
Labda kama teknolojia haijafika huko.
Kabisa ila wakulaumiwa hasa ni hao NHIF wenyewe. Wameishusha hadhi kadi yao kiasi kwamba inaonekana ni uchafu. Nchi za wenzetu ukiwa na Bima ya Afya hospitali inakunyenyekea.Pamoja na usomi wao hawajui kama umewalipa in advance
Hakuna kitu kama hicho ndugu. Natibiwa maemeo makuu ya afya hapa nchini ninachopata ni taarifa tu kuwa nimetibiwa. Lakini si kikokotoo cha gharama nilizotibiwa. Hizi za tiba napewa kwenye form tu. Lakini kiendacho huko ni tofauti. Labda kama wewe unalijua hilo basi utakuwa NHIF servant.
Najua nisemacho....KIJAZWACHO KWENYE MADAI SICHO APATACHO MTEJA. NA HII NI KWASABABU YA MAKATO TOKA NHIF YASIYOZINGATIA FACILITY IMEFANYA NINI KWA CLIENTS
Hakuna kitu kinakera,kinaumiza wachangiaji kama hiki hasa unapofika hosptali na kuambiwa gharama fulani hazilipiwi na BIMA.Nimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za Serikali,nikimaanisha michango ya wanachana kuwa ni pombe ya ngomani kila mmoja anajichotea tu.
Kuna malalamiko mengi yanayojitokeza kati wa Mwanachama mchangiaji anapopata huduma,Mfuko wenyewe NHIF kama mlipaji, na watoa huruma. Huu ni utatu mchafu.
Mwanachama anapoenda kupata huduma za kiafya sehemu husika kuna huduma anazozipata hazilingani kabisa na gharama NHIF itakazolipa kwa mtoa huduma. Yaani hapa mgonjwa Mwanachama wa NHIF anaweza tibiwa kwa gharama anazoweza kuziona labda Tsh 9000. Lakini kinachopelekwa NHIF ni tofauti na hiyo gharama aliyoiona mteja.
Mtoa huduma naye akishapeleka hizo gharama zake alizozitoa kwa huyu Mwanachama wa NHIF,sizo atakazolipwa na NHIF.
Huyu anaweza kupeleka madai ya Tsh 9000 ile na akalipwa Tsh 6000 kama si 5000. Na NHIF hutoa sababu mbalimbali za hayo makato ikiwa ni pamoja na Mdai kuambia kuwa kuna dawa au vipimo kavitoa kimakosa au bila usahihi
Mtoa huduma akirudi kwenye mwongozo unaomtaka ahudumieje,anakuta yuko sahihi kabisa.
Sasa hapa ndipo tatizo linapoanzia, Mtoa huduma anajikuta anaingia kwenye ukurasa mwingine wa kujaza form tofauti na aliyoitoa kwa Mteja aliyemtibu na kujaza nyingine yenye gharama za juu ili kufidia hayo makato yasiyo na tija wayafanyayo NHIF. Wizi unaanzia hapa.
NHIF naye anapopelekewa hizo gharama zisizo sahihi kama kawaida yake atakata anavyojisikia na kurejesha kwa mtoa huduma anachoona kinamfaa.
Huko NHIF haijulikani kama wanavyompa mtoa huduma ndivyo vinavyokuwa sahihi na kwao!!!!? Hilo ni jambo la huko. Nako kwa kumulika.
Huu utatu mchafu unamuumiza zaidi huyu mchangiaji maana hii sio NSSF ambako atakuja kupigiana hesabu na mwajili apate chake sahihi.
Ushauri
NHIF ikiwezekana wajenge vituo vyao vya kutolea huduma hizi kwa wanachama wao ili kusiwe na hili la Mwanachama kupata huduma zisizoendana na uhalisia wa alichohudumiwa maana imekuwa ni tatizo kwelikweli.
Kama wanakusanya michango ya kutosha isiyo na rejesho kwa Mwanachama.,Basi wanao uwezo wa kujenga vituo na wanachama tukapata huduma sahihi kwao kuliko tunayofanyiwa huku walikotoa tenda za kutibiwa ambako ni upigaji mwanzo mwisho.
Wanaajiri Madaktari na kuwezesha kukopesha vituo vya kutolea huduma hivyo wanaweza kuyafanya haya yoote wao wenyewe NHIF. Waige kwa NSSF nk wanaojiwekezea kwenye miradi mingi kwa manufaa ya mfuko na wanachama wao.
AbsolutelyNchi za wenzetu ukiwa na Bima ya Afya hospitali inakunyenyekea.

Hilo nalo ni tatizo utazani hawajui kama Kuna ndoa za kimila.Hakuna kitu kinachoshangaza hasa kuhusu huduma za NHIF kama urasimu wa kusema ili umuweke mwenzi wako lazima uweke cheti cha ndoa wakati huo wanajua fika kuna watu hawana vyeti hivyo kutokana na kufunga ndoa za kimila na mchangiaji anathibitisha kwamba huyo ni mwenza wake lakini kwa sheria ya ovyo waliyo nayo wanamkatalia kuprocessia card