Rais Samia Suluh Hassan Na Nishati Safi

Rais Samia Suluh Hassan Na Nishati Safi

petr15

Member
Joined
Aug 25, 2025
Posts
38
Reaction score
35
Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki
Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda).

Hii inaiwezesha Tanzania kuuza na kununua umeme—kuifanya iwe kitovu cha biashara ya nishati ukanda wa EAC na SADC.
#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom