Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Retired inawezekana kabisa hili jambo akalimaliza. Ni kama enzi zile za Askofu Gwajima, tulimpa mbinu za kulimaliza ila akashupaza shingo leo Kanisa limefunguliwa na yeye Samia ndiyo kachafukw zaidi. Hili jambo jibu lake lilikuwa very simple. Kwanza kabisa anaweza ku declare kufuta uchaguzi, uchunguzi huru, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na within 2 to three years yeye anaachia madaraka na hapo hapo aunde tume ya maridhiano akili alikosea basi mambo yataisha. Ila kwa jinsi anavyodhani anatamani hata wewe Retired agekuwa anakujua basi kwa maoni yako angekuuaUnaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Anajua wananchi wanataka nini, ila hayuko tayari na hicho wananchi wanachi wanachotaka. Maana wananchi hawamtaki yeye kuwa rais wao, kitu ambacho yeye na genge lake hawaki tayari kukubali.Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
La kuanza nalo ni kukomesha utekaji na hukumu za nje ya mahakama. Mengine yatafuata.Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Pale hakuna kitu.Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Naomba niseme la nyongeza hapo"Retired inawezekana kabisa hili jambo akalimaliza. Ni kama enzi zile za Askofu Gwajima, tulimpa mbinu za kulimaliza ila akashupaza shingo leo Kanisa limefunguliwa na yeye Samia ndiyo kachafukw zaidi. Hili jambo jibu lake lilikuwa very simple. Kwanza kabisa anaweza ku declare kufuta uchaguzi, uchunguzi huru, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na within 2 to three years yeye anaachia madaraka na hapo hapo aunde tume ya maridhiano akili alikosea basi mambo yataisha. Ila kwa jinsi anavyodhani anatamani hata wewe Retired agekuwa anakujua basi kwa maoni yako angekuua
wewe nae sijui una matatizo gani..huyu ni rais kwa uchaguzi upi?Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Huyo jamaa ana hitilafu kichwani.wewe nae sijui una matatizo gani..huyu ni rais kwa uchaguzi upi?
Hapa ameshafika kwenye point of no return 😄
Samia ni ka Drm Salmin Amour komandooUnaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.