Rais Samia, shupaza Shingo kabisa, Huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu

jindundu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
679
Reaction score
580
Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake.

Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia aapishwe kuwa Rais kama Katiba inavyosema kwani yeye ndiye alikuwa Makamu wa Rais. Hawa walikuwa na hiyo mipango kwa sababu zao binafsi na pia ubaguzi wa Moja kwa moja kwamba kwa kuwa Samia ni mwanamke asingeweza kuongoza nchi. Wakijifanya hamnazo ilhali wanajua Urais ni Taasisi.

Kulikuwa na ufa mkubwa kwetu sisi na nchi nyingine hususani zile za wenzetu. Dunia ni Kijiji, lakini sisi wakati ule kutokana na mtazamo na maono ya kiuongozi ya wakati ule tulikuwa hatuundi Kijiji hicho cha Dunia Moja.

Rais Samia alianza kuturejesha tena kwenye Kijiji cha dunia Moja. Tuliona ziara nyingi za kule na huko. Hilo likapita.

Rais Samia aliona Demokrasia nchini ilikuwa na dosari maana wengine walikuwa ughaibuni wamekimbia baada ya kukumbana na moto wa ngosha. Wengine walikuwa wanatibiwa Ulaya baada ya kupigwa masasi kibao na WASIOJULIKANA chini ya uongozi wa Rais Magufuli. Wengine walikuwa magerezani kwa sababu za Kisiasa. Nikitaja kwa uchache.

Rais Samia na Serikali yake akaona si vema aongoze nchi Kwa mfumo huo. Akabatirisha takribani yote. Waliokuwa wamekimbia wakarudi nyumbani, vyama vya Siasa vikarejeshewa haki yao ya Kikatiba ya kufanya Siasa. Kifupi kukawa na maridhiano. Mambo yakaenda vizuri.

Rais Samia katika kipindi cha miaka minne, ukweli kafanya mengi na ambayo yanaonekana wazi katika sekta nyingi. Ajira, katoaa, nyongezq ya mishahara katoaaa, hospitali, Zahanati, Vituo vya Afya, vyuo, mashule, kajengaaa!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Pamoja na changamoto zilizopo lakini kwa muda mfupi kafanya mengi yanaonekana.

Baada ya kuona ulaini wa Rais Samia, ndipo sasa zikaingia hoja za kudai mabadiriko katika baadhi ya mambo kwa nguvu kubwa na vitisho. Tukawa tunasikia no reform no election. Hakuna mabadiriko, hakuna Uchaguzi. Mtu unajiuliza Sasa kama bila mabadiriko hakuna Uchaguzi nini kitafuata? Hii kweli kama ingeachwa iendelee kama wabeba maono hayo wanavyotaka Nini kingetokea?? Kweli yapo mambo ambayo yanatakiwa kuboreshwa zaidi ili kuwe na wigo mpana na ulio sawa wa kiushindani kwa vyama vya Siasa, lakini njia na kauli zinazotumika kudai hizo reforms kweli ziko sawa?

Ilishindikans nini kukaa chini na pande nyingine na kuzungumza? Kwa waungwana mambo yote huanza na mazungumzo. Yapo ambayo yangekubaliwa yatekelezwe ndani ya muda huu na.mengine mbele ya safari.

Kauli ya no reform, no election ikahanikizwa na kakauli kengine kepesi kutamkaka lakini kenye impact kubwa, " kama wasipofanya marekebisho, tutakinukisha kweli kweli". Haka ka kauli ndiko kaliko haribu hali ya hewa. Ikatafsirika kuwa nyuma ya haya mambo Kuna mpango mbaya.

Unajiuliza wakinukishe katika kipindi hiki? Mbona hawakufanya hivyo vipindi vilivyopita wakati mifumo ilikuwa hivi hivi? Jibu ni rahisi kwamba, walimtafsiri Rais Samia kuwa ni lege lege
anawaogopa ndio maana aliwarudisha hata waliokuwa wamekimbia moto.

kwa kujaribu jaribu huku, tukipuuza na kama Rais asiposhupaza Shingo kweli jamaa zetu watakinukisha kweli kweli. Wanaosema na kushabikia kauli zao wengine ni wakimbizi wanajificha ficha humu kama nguchiro, kikinuka haooo!! Wengine hata watoto wao na wake zao wako Ulaya. Wakikinukishs haooo Ulaya. Wengine wanalipwa ili wakinukishe Kisha haoo. Tutakaobaki ni sisi walalahoi ambao kikinuka hatuna pa kwenda.

Haya ndani ya CCM nako wamejitokeza baadhi ya watu wanataka mabadiriko yafanyike Tena ndani ya muda mfupi. Ukiangalia kwa kina unaona wazi kuwa yanayofanyika ndani na nje ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu ni mkakati ambao ukiruhusiwa kwa muda huu, utaleta sintiofahamu katika nchi hii ikiwa ni pamoja na kuvurugika kwa amani na utulivu. Ndio maana nimesema, Rais Samia ashupaze Shingo ili haya mambo yapite kushoto.

Ndg yangu Polepole ana haki ya kusema ayasemayo, lakini alikuwa wapi tangu Januari mpaka leo ndipo anasema mchakato ulikosewa? Ndio maana nasema yanayotokea ndani na nje ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu ni mkakati wa pamoja wa watu waliopanga kipi kianze wakati gani na nani aibuke na hoja zipi wakati gani!

Rais Samia endelea kushupaza Shingo, huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu ambaye anasema kikinuka Hana nguvu za kukimbia.

Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu. Wanao tiki wa tiki, wanaompa kura Mwalimu na Luhsgs Mpina na watiki pia.

Baada ya Uchaguzi tutakaa kupanga yaliyoko mbele yetu, safi!
 
Polepole ni ujani tu ndani ya CCM , pumzi yake si ya marathon ni ya mbio fupi itakata muda si mrefu.
 
Rais Samia endelea kushupaza Shingo, huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu ambaye anasema kikinuka Hana nguvu za kukimbia.

Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu. Wanao tiki wa tiki, wanaompa kura Mwalimu na Luhsgs Mpina na watiki pia.

Baada ya Uchaguzi tutakaa kupanga yaliyoko mbele yetu, safi!
makubwa tena, ukiuona tu uandishi wa dizaini hii ujue hamna kitu
 
Hivi hao walioanzisha hiyo kauli ya "no reforms no elections" waliwahi kuitwa waje kwenye meza ya mazungumzo wakakataa kuja?

Nafikiri kama waliitwa waje wajadiliane pamoja kwa manufaa ya taifa letu wakagoma kuja na kuendelea nyimbo zao basi itakuwa sahihi kusema kwamba wana nia mbaya kwa nchi yetu na hata kwa viongozi walioko madarakani vinginevyo ni kinyume chake.

Wangeitwa wasikilizwe, waonyeshwe wazi wazi kwamba wanayoyadai yamefanyika au hayana manufaa kwa taifa letu.

Pili, Polepole hakuongea hayo anayoyaongea leo tangu January lakini kuna mwanachama mmoja (hata kafungua kesi mahakamani) ambaye alipinga kile kilichofanyika January ambayo ndiyo hayo hayo anayoyapinga Polepole leo hii.

Hoja inapojibiwa kwa hoja sahihi basi huisha lakini ikijibiwa kwa mabavu au kupuuzwa basi hubaki hivyo hivyo na ndiyo maana wakina Polepole bado wanaibuka kuhoji tena kile kile ambacho yule mwanachama alijitokeza mapema kuhoji/kupinga.

Kabla ya kushupaza shingo nafikiri ni vyema sana kutafakari na kupima uzito na ukweli wa hoja zinazotolewa na wanachama, wananchi, wanasiasa nk na kuzijibu kwa usahihi na ukweli.

Huwezi kushupaza shingo kwa hoja yenye mashiko na ukweli kwani utakuwa unapingana na ukweli wenyewe kwa kutumia nguvu lakini siku zote ukweli utabaki ukweli.

Wakushupaza shingo ashupaze kwa ujasiri mkubwa sana kama kaona wazi kabisa toka ndani ya nafsi na dhamiri yake kwamba yanayopigiwa kelele au hoja zinazotolewa na wengine hazija tija yoyote kwa taifa letu na raia wake.

Vinginevyo kumshauri mtu ashupaze shingo dhidi ya ukweli ni kudanganyana kwani mwisho wa kushupaza shingo dhidi ya ukweli sio mzuri.

Ni bora sana tukawa wakweli wa nafsi na dhamiri zetu.
 
Dah! Bibi yako kakupa ujumbe mrefu hivi!!!!!????
 
Nimesoma mpaka mwisho lakini nimeambulia kusoma uharooo
 
Swali fikirishi hivi Zanzibar ni nchi na kama siyo nchi kwanini wana katiba Yao na kama ni nchi kuhusu jeshi la ulinzi inakuwa vipi
 
Polepole Ni Kama Wakina Luhaga Mpina Tu....Trendini Za Muda Mfupi..Kwisha Tunaendelea Na Mambo Mengine...
 
Hivi hao walioanzisha hiyo kauli ya "no reforms no elections" waliwahi kuitwa waje kwenye meza ya mazungumzo wakakataa kuja?

Nafikiri kama waliitwa waje wajadiliane pamoja kwa manufaa ya taifa letu wakagoma kuja na kuendelea nyimbo zao basi itakuwa sahihi kusema kwamba wana nia mbaya kwa nchi yetu na hata kwa viongozi walioko madarakani vinginevyo ni kinyume chake.

Wangeitwa wasikilizwe, waonyeshwe wazi wazi kwamba wanayoyadai yamefanyika au hayana manufaa kwa taifa letu.

Pili, Polepole hakuongea hayo anayoyaongea leo tangu January lakini kuna mwanachama mmoja (hata kafungua kesi mahakamani) ambaye alipinga kile kilichofanyika January ambayo ndiyo hayo hayo anayoyapinga Polepole leo hii.

Hoja inapojibiwa kwa hoja sahihi basi huisha lakini ikijibiwa kwa mabavu au kupuuzwa basi hubaki hivyo hivyo na ndiyo maana wakina Polepole bado wanaibuka kuhoji tena kile kile ambacho yule mwanachama alijitokeza mapema kuhoji/kupinga.

Kabla ya kushupaza shingo nafikiri ni vyema sana kutafakari na kupima uzito na ukweli wa hoja zinazotolewa na wanachama, wananchi, wanasiasa nk na kuzijibu kwa usahihi na ukweli.

Huwezi kushupaza shingo kwa hoja yenye mashiko na ukweli kwani utakuwa unapingana na ukweli wenyewe kwa kutumia nguvu lakini siku zote ukweli utabaki ukweli.

Wakushupaza shingo ashupaze kwa ujasiri mkubwa sana kama kaona wazi kabisa toka ndani ya nafsi na dhamiri yake kwamba yanayopigiwa kelele au hoja zinazotolewa na wengine hazija tija yoyote kwa taifa letu na raia wake.

Vinginevyo kumshauri mtu ashupaze shingo dhidi ya ukweli ni kudanganyana kwani mwisho wa kushupaza shingo dhidi ya ukweli sio mzuri.

Ni bora sana tukawa wakweli wa nafsi na dhamiri zetu.
Asomaye na afahamu!
 
Hakuna aliyesems yanayosemwa hayana maana. Soma tena bila mihemko, panic wala papara utaelewa vizuri. Wenzangu na Mimi vichwa Sungwi, kutoa matusi hakusaidii. Kosoa ulipoona hapako sawa, boresha unapoona hapatoshi. Kutoa matusi tu bila hoja huo ni unyumbu na akili Sungwi!!
 
Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake.

Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia aapishwe kuwa Rais kama Katiba inavyosema kwani yeye ndiye alikuwa Makamu wa Rais. Hawa walikuwa na hiyo mipango kwa sababu zao binafsi na pia ubaguzi wa Moja kwa moja kwamba kwa kuwa Samia ni mwanamke asingeweza kuongoza nchi. Wakijifanya hamnazo ilhali wanajua Urais ni Taasisi.

Kulikuwa na ufa mkubwa kwetu sisi na nchi nyingine hususani zile za wenzetu. Dunia ni Kijiji, lakini sisi wakati ule kutokana na mtazamo na maono ya kiuongozi ya wakati ule tulikuwa hatuundi Kijiji hicho cha Dunia Moja.

Rais Samia alianza kuturejesha tena kwenye Kijiji cha dunia Moja. Tuliona ziara nyingi za kule na huko. Hilo likapita.

Rais Samia aliona Demokrasia nchini ilikuwa na dosari maana wengine walikuwa ughaibuni wamekimbia baada ya kukumbana na moto wa ngosha. Wengine walikuwa wanatibiwa Ulaya baada ya kupigwa masasi kibao na WASIOJULIKANA chini ya uongozi wa Rais Magufuli. Wengine walikuwa magerezani kwa sababu za Kisiasa. Nikitaja kwa uchache.

Rais Samia na Serikali yake akaona si vema aongoze nchi Kwa mfumo huo. Akabatirisha takribani yote. Waliokuwa wamekimbia wakarudi nyumbani, vyama vya Siasa vikarejeshewa haki yao ya Kikatiba ya kufanya Siasa. Kifupi kukawa na maridhiano. Mambo yakaenda vizuri.

Rais Samia katika kipindi cha miaka minne, ukweli kafanya mengi na ambayo yanaonekana wazi katika sekta nyingi. Ajira, katoaa, nyongezq ya mishahara katoaaa, hospitali, Zahanati, Vituo vya Afya, vyuo, mashule, kajengaaa!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Pamoja na changamoto zilizopo lakini kwa muda mfupi kafanya mengi yanaonekana.

Baada ya kuona ulaini wa Rais Samia, ndipo sasa zikaingia hoja za kudai mabadiriko katika baadhi ya mambo kwa nguvu kubwa na vitisho. Tukawa tunasikia no reform no election. Hakuna mabadiriko, hakuna Uchaguzi. Mtu unajiuliza Sasa kama bila mabadiriko hakuna Uchaguzi nini kitafuata? Hii kweli kama ingeachwa iendelee kama wabeba maono hayo wanavyotaka Nini kingetokea?? Kweli yapo mambo ambayo yanatakiwa kuboreshwa zaidi ili kuwe na wigo mpana na ulio sawa wa kiushindani kwa vyama vya Siasa, lakini njia na kauli zinazotumika kudai hizo reforms kweli ziko sawa?

Ilishindikans nini kukaa chini na pande nyingine na kuzungumza? Kwa waungwana mambo yote huanza na mazungumzo. Yapo ambayo yangekubaliwa yatekelezwe ndani ya muda huu na.mengine mbele ya safari.

Kauli ya no reform, no election ikahanikizwa na kakauli kengine kepesi kutamkaka lakini kenye impact kubwa, " kama wasipofanya marekebisho, tutakinukisha kweli kweli". Haka ka kauli ndiko kaliko haribu hali ya hewa. Ikatafsirika kuwa nyuma ya haya mambo Kuna mpango mbaya.

Unajiuliza wakinukishe katika kipindi hiki? Mbona hawakufanya hivyo vipindi vilivyopita wakati mifumo ilikuwa hivi hivi? Jibu ni rahisi kwamba, walimtafsiri Rais Samia kuwa ni lege lege
anawaogopa ndio maana aliwarudisha hata waliokuwa wamekimbia moto.

kwa kujaribu jaribu huku, tukipuuza na kama Rais asiposhupaza Shingo kweli jamaa zetu watakinukisha kweli kweli. Wanaosema na kushabikia kauli zao wengine ni wakimbizi wanajificha ficha humu kama nguchiro, kikinuka haooo!! Wengine hata watoto wao na wake zao wako Ulaya. Wakikinukishs haooo Ulaya. Wengine wanalipwa ili wakinukishe Kisha haoo. Tutakaobaki ni sisi walalahoi ambao kikinuka hatuna pa kwenda.

Haya ndani ya CCM nako wamejitokeza baadhi ya watu wanataka mabadiriko yafanyike Tena ndani ya muda mfupi. Ukiangalia kwa kina unaona wazi kuwa yanayofanyika ndani na nje ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu ni mkakati ambao ukiruhusiwa kwa muda huu, utaleta sintiofahamu katika nchi hii ikiwa ni pamoja na kuvurugika kwa amani na utulivu. Ndio maana nimesema, Rais Samia ashupaze Shingo ili haya mambo yapite kushoto.

Ndg yangu Polepole ana haki ya kusema ayasemayo, lakini alikuwa wapi tangu Januari mpaka leo ndipo anasema mchakato ulikosewa? Ndio maana nasema yanayotokea ndani na nje ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu ni mkakati wa pamoja wa watu waliopanga kipi kianze wakati gani na nani aibuke na hoja zipi wakati gani!

Rais Samia endelea kushupaza Shingo, huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu ambaye anasema kikinuka Hana nguvu za kukimbia.

Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu. Wanao tiki wa tiki, wanaompa kura Mwalimu na Luhsgs Mpina na watiki pia.

Baada ya Uchaguzi tutakaa kupanga yaliyoko mbele yetu, safi!
Miaka 2 baadaye Bandari ikaenda, Ngorongoro ikaenda na misitu ikaenda.

Vyote hivyo vilikuwepo na tulivikuta!! Wizi wa mali za umma umetamalaki.. bado tunahitaji kuwalaumu wakosoaji?
 
Vyote hivyo vilikuwepo na tulivikuta!! Wizi wa mali za umma umetamalaki. bado tunahitaji kuwalaumu wakosoaji?
 
Toka mwezi wa nne hadi leo mda Hautoshi vipi, mbona katiba ya Chama imebadilishwa ndani a masaa tena kwa mtandao.
 
Back
Top Bottom