Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mara watoto watajua kusoma na kuandika darasa la tatu, mara usikivu na TBC, sasa ni rushwa imepungua. Sijawahi ona mgombea inept duniani kama huyu huwa nafikria ana tatizo la akili ila nikiona Zanzibar mbona anafanya vitu vya kueleweka naona anatufanyia mizaha watanganyika ndio maana licha ya uhakika wa ksuhinda kwa wizi hataki awe na mpinzaniMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Mwizi Pro Max kaibuka dakika za jiooooooni baada ya kuona moto wa NepalMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Hili haliwezi kumpita PolepoleMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.