Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Mama kama yuko na Wananchi kwa nini asijiunge na Chama cha Wananchi CUF. Just jocking 😁
 
Kusimama na wananchi ni kushusha bei za pembejeo
 
Nasi tutasimama na Rais wetu Samia Suluhu Hassan kuhakikisha kazi inaendelea kwani Tanzania ndio baba na mama

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote wenye nia njema na taifa hili
 
Reactions: Ame
wapi sasa mama, kisiwandui au Lumumba?
 
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.
 
Kwa hiyo hayo makundi ni masalia ya mwendazake. Sawa Sukuma Gang wanamzoom tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mama alishasema Awamu yake ni ya sita acha kupotosha ukweli.
 
Mama alishasema Awamu yake ni ya sita acha kupotosha ukweli.
Unajua majukumu ya makamu wa rais?
Kama anajitoa awamu ya tano,ajitoa na kwenye hiyo miradi yote inayoendelea ili tujue yeye ni malaika na hahusiki.
 
Wakati mwingine ni busara ni kutokuongea sana, matendo ni muhimu isitoshe haijui kesho yake hata Magufuli alianza vizuri tu na akina Nape Makamba & Co. wakati huo adui ni Lowasa hivyo asiwaamini sana watoto wa single mothers, wanaompamba ndiyo watakaomgeuka na kumuangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…