GE2025 Rais Samia: Ninayesema ni Amri Jeshi Mkuu, maandamano yatakayokuwepo Oktoba 29 ni ya kwenda kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
427
Reaction score
666
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania wajitokeze Oct 29, 2025 kwenda kupiga kura halafu matusi na lawama wamuachie yeye kwani ameapa kuilinda Tanzania na Kujenga utu wa Mtanzania.

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Oct 21, 2025 katika Viwanja vya Leaders Club Mkoani Dar Es Salaam kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.

Dkt. Samia amesema kuwa maandamano yatakayokuwepo Oct 29, 2025 ni ya watu kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na sio kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kama wanavyosema baadhi ya watu kwenye Mitandao ya Kijamii.

Cc:WasafiDigital
 
Watajuaje kama hayo maandamano ni ya wapiga kura tu?
 
Anashindana na nini?!
⁉️😕😵🤔
 
Una madaraka makubwa ila bado hauna amani, mtu unaforce kujitangaza na kuaminisha watu una mamlaka.
 
Back
Top Bottom