Rais Samia ni mtu kwelikweli

Sema jiongeze uwe multi-purpose usitegemee one source of income huku uki-praise politicians kwa kutegemea Huruma ya Binadamu mwenzako that all.
 
Nje ya mada rafiki
 
Hotuba moja watu washaanza kubadilika hadi inafika 2025 na Mbowe atamuombea kura Samia

Mimi sioni shida kama kweli CCM itabadilika na kuomba radhi , lakini kwa walivyokuwa hawana historia nzuri Shetani kuwa malaika itakuwa ni miujiza
 
Upo sahihi kabisa, mama anaupiga mwingi mno
 
Mimi sioni shida kama kweli CCM itabadilika na kuomba radhi , lakini kwa walivyokuwa hawana historia nzuri Shetani kuwa malaika itakuwa ni miujiza
Sema labda kuaminika hapo Kaz wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…