Rais Samia ni mama wa taifa, msikilizaji, mwanamikakati na mwenye maono

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na papara ktk maamuzi.

Tuseme ni kelele zipi ambazo yeye ni mgeni leo kwamba zitamyumbisha? Jibu ni hakuna kabisa. Ni maamuzi yapi leo atakuwa mgeni nayo. Jibu ni hakuna ni muda tu utadhirisha dhamira yake ya dhati kwa Taifa hili.

This is why she’s always been a step ahead of the system since she communicates back what she knows. Watunza kumbukumbu ni watu ambao tunapaswa kuwaheshimu wanajua kila kitu cha ofisi na mambo yajayo. Kutoka huko hadi hapa alipo anahitaji salute.

Amekulia kwenye mfumo ule wa you don’t know who is who, so you can’t weed her out, and that’s how she managed to eyeball the opposition at early stage. Anawajua viruses, rebels na day dreamers believers ndani na nje ya serikali.

She is a planner and strategist almost single-handedly for her own amechangia kiasi kikubwa kutengeneza nafasi ya kuheshimika katika ukanda wa Afrika Mashariki ukimuuliza Haichilema, Ruto na Kagame kuwa Samia ni nani watakuambia ni mmoja kati ya wana mikakati wenye nguvu Afrika na hazina kubwa ya Afrika.

Samia used every opportunity she ever had in government to plan for the next phase. She assessed her circumstance early, alijua wazi anataka kwenda wapi na vitu gani ni muhimu kwake amejijengea a rich network ya urafiki, kingine ni mwingi wa taarifa za kiintelijensia hizi alikuwa anazipata zote za kutosha na sasa anazipokea direct.

Litazame bunge la Katiba na wajumbe wake angalia pale ndipo nyota yake iling’aa katika ya wapinzani watukutu. Nyota iling’aa kiasi ambacho wasiokuwa na jicho la kawaida hawakuliona hili ndiyo maana chama hakikusita kumteua kuwa Mgombea mwenza wa Dkt. John Magufuli.

Samia stayed close to them long enough to learn and to plan. She has built her war chest that no other politician out of the duopoly has managed to. And she did it covertly that her detractors do not understand how she was able to.

Hana kifua chepesi cha kuogopa kelele za wakosoaji ila ama masikio mazuri ya kusikiliza wakosoaji si kila muda utapatia ki msingi anazihitaji kelele za wakosoaji kila wakati ili kujenga, hatowapiga virungu na kuzima mtandao kuweni huru aijenge Tanzania.

Samia anaweza kutupa vitu vingi sana kwa muda mfupi kumaliza Ikulu ya Chamwino, Daraja la Busisi, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na Katiba mpya atawapatia na Tanzania yenye uchumi imara.
 
imara.
Wewe ni mburura kinyamkera.

Bandari yetu haiuzwi kwa wajombaze. Akauze za Zanzibar.

Uzuri watanganyika wamekuwa wamoja sana kwa hili.

Hatugawiki kidini , kivyama wala kikabila.

Linda banari zetu, linda maliasili zetu kwa manufaa ya vizazi vyetu.

Sa100 must go!!!
 
Samia anaweza kutupa vitu vingi sana kwa muda mfupi kumaliza Ikulu ya Chamwino, Daraja la Busisi, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na Katiba mpya atawapatia
Ikiwa wewe ni mwanaume ona aibu kwa hivi unavyomsifia Samia, huyo ni daraja tu la wezi kuzifikia rasilimali za taifa na kuziiba.

Hakuna lolote alilolifanya huyo zaidi ya kutuletea wezi na mafisadi
 
Projects ulizotaja toka financing mpaka ujenzi ulianza long before her reign, advisors wake na yy mwenyewe wapo wrong sana , walifukuza wamaasai kupisha waarabu by force which was unnecessary, sasa bandari iliyojengwa fully furnished na systems zote pia kaipeana , mbona Kenya wachina walijenga reli kwa hela yao na wanaimanage wao mpaka hela yao irudi , arabis nations are wealthy they could have been accorded land wajenge wajenge hata berths 4 wapige biashara sio kupewa mali ya uuma wapige biashara for profit.

Hapa hamna cha ni muislamu mwenzetu au nini , that is a mistake ambayo itatucost for a long time , faida watakayoipata pale itageuzwa dola iende kwao. Besides mbona hizo contracts hawajaachilia wazi in totality tuzione , 100 years wapeana bandari kudadeki sio muda mchache , wangepewa hata 5 years for a start waw accesed tuone kama huu mpango una faida kwe2 .
Yule mama anatufelisha sana , she should focus on SME's na wafanyabiashara wadogo kuwapa policies mzunguko wa hela uimarike sio leasing state assets, by law its illegal na parliament ilifeli kutofanya kitu.
Jiwe sikumpenda ila huyu ndo amezidi .
 
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na papara ktk maamuzi.

Tuseme ni kelele zipi ambazo yeye ni mgeni leo kwamba zitamyumbisha? Jibu ni hakuna kabisa. Ni maamuzi yapi leo atakuwa mgeni nayo. Jibu ni hakuna ni muda tu utadhirisha dhamira yake ya dhati kwa Taifa hili.

This is why she’s always been a step ahead of the system since she communicates back what she knows. Watunza kumbukumbu ni watu ambao tunapaswa kuwaheshimu wanajua kila kitu cha ofisi na mambo yajayo. Kutoka huko hadi hapa alipo anahitaji salute.

Amekulia kwenye mfumo ule wa you don’t know who is who, so you can’t weed her out, and that’s how she managed to eyeball the opposition at early stage. Anawajua viruses, rebels na day dreamers believers ndani na nje ya serikali.

She is a planner and strategist almost single-handedly for her own amechangia kiasi kikubwa kutengeneza nafasi ya kuheshimika katika ukanda wa Afrika Mashariki ukimuuliza Haichilema, Ruto na Kagame kuwa Samia ni nani watakuambia ni mmoja kati ya wana mikakati wenye nguvu Afrika na hazina kubwa ya Afrika.

Samia used every opportunity she ever had in government to plan for the next phase. She assessed her circumstance early, alijua wazi anataka kwenda wapi na vitu gani ni muhimu kwake amejijengea a rich network ya urafiki, kingine ni mwingi wa taarifa za kiintelijensia hizi alikuwa anazipata zote za kutosha na sasa anazipokea direct.

Litazame bunge la Katiba na wajumbe wake angalia pale ndipo nyota yake iling’aa katika ya wapinzani watukutu. Nyota iling’aa kiasi ambacho wasiokuwa na jicho la kawaida hawakuliona hili ndiyo maana chama hakikusita kumteua kuwa Mgombea mwenza wa Dkt. John Magufuli.

Samia stayed close to them long enough to learn and to plan. She has built her war chest that no other politician out of the duopoly has managed to. And she did it covertly that her detractors do not understand how she was able to.

Hana kifua chepesi cha kuogopa kelele za wakosoaji ila ama masikio mazuri ya kusikiliza wakosoaji si kila muda utapatia ki msingi anazihitaji kelele za wakosoaji kila wakati ili kujenga, hatowapiga virungu na kuzima mtandao kuweni huru aijenge Tanzania.

Samia anaweza kutupa vitu vingi sana kwa muda mfupi kumaliza Ikulu ya Chamwino, Daraja la Busisi, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na Katiba mpya atawapatia na Tanzania yenye uchumi imara.
kwani ndio mke wa baba wa taifa
 
Kuuza Bandari za Tanganyika ndio mkakati
 
Awe makini sana na GSM aliyempa uhuru wa uzalishaji huku akisema hatombinya kwenye biashara zake.

Hawa ni wafanyabiashara wenye kufaidika na mfumo mbovu pale bandarini. Ni sawa sawa na wale wanaofaidika na ukatishaji tiketi wa kusukumana pale uwanja wa Taifa, kwamba pakiwa na vurugu wakati wa kuingia uwanjani wao kwa njia zao haramu ndio unakuwa muda wa kupata pesa chafu.

GSM hawezi kukubali usafi pale bandarini hawezi kukubali kuona teknolojia za kisasa zikishusha na kupakia mizigo kwa muda mfupi, ni mfanyabiashara mwenye kupenda uwepo wa sintofahamu ili aweze kutajirika, ndio yule aliyepitisha makontena 1500 bila ya kulipa ushuru.

TICTS ya Karamahi haiwezi kumpenda Hamza Johari wala Dr Possi, hawa ni lazima watapigwa vita kwani wanatetea usafi wa bandari ni watetezi wa maslahi mapana ya Taifa. Haiwi ajabu kumuona Tibaijuka kasimama kupinga uwekezaji, anamtetea Karamagi mtu wa kwao.

Rais Samia anayo staha ya kazi, anatumia busara kabla hajaamua suala fulani ni tabia kairithi kutoka kwa JK na inausaidia uongozi wake kwa ujumla.

Kuna vita ya kiuchumi inayoendelea na waliopo upande wa maadui ni watu wenye elimu, upeo na ushawishi mkubwa kwani pesa chafu ya GSM ipo kazini muda huu.
 
Muda ni shahidi wa dhamira njema kwa Rais Samia.
 
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na papara ktk maamuzi.

Tuseme ni kelele zipi ambazo yeye ni mgeni leo kwamba zitamyumbisha? Jibu ni hakuna kabisa. Ni maamuzi yapi leo atakuwa mgeni nayo. Jibu ni hakuna ni muda tu utadhirisha dhamira yake ya dhati kwa Taifa hili.

This is why she’s always been a step ahead of the system since she communicates back what she knows. Watunza kumbukumbu ni watu ambao tunapaswa kuwaheshimu wanajua kila kitu cha ofisi na mambo yajayo. Kutoka huko hadi hapa alipo anahitaji salute.

Amekulia kwenye mfumo ule wa you don’t know who is who, so you can’t weed her out, and that’s how she managed to eyeball the opposition at early stage. Anawajua viruses, rebels na day dreamers believers ndani na nje ya serikali.

She is a planner and strategist almost single-handedly for her own amechangia kiasi kikubwa kutengeneza nafasi ya kuheshimika katika ukanda wa Afrika Mashariki ukimuuliza Haichilema, Ruto na Kagame kuwa Samia ni nani watakuambia ni mmoja kati ya wana mikakati wenye nguvu Afrika na hazina kubwa ya Afrika.

Samia used every opportunity she ever had in government to plan for the next phase. She assessed her circumstance early, alijua wazi anataka kwenda wapi na vitu gani ni muhimu kwake amejijengea a rich network ya urafiki, kingine ni mwingi wa taarifa za kiintelijensia hizi alikuwa anazipata zote za kutosha na sasa anazipokea direct.

Litazame bunge la Katiba na wajumbe wake angalia pale ndipo nyota yake iling’aa katika ya wapinzani watukutu. Nyota iling’aa kiasi ambacho wasiokuwa na jicho la kawaida hawakuliona hili ndiyo maana chama hakikusita kumteua kuwa Mgombea mwenza wa Dkt. John Magufuli.

Samia stayed close to them long enough to learn and to plan. She has built her war chest that no other politician out of the duopoly has managed to. And she did it covertly that her detractors do not understand how she was able to.

Hana kifua chepesi cha kuogopa kelele za wakosoaji ila ama masikio mazuri ya kusikiliza wakosoaji si kila muda utapatia ki msingi anazihitaji kelele za wakosoaji kila wakati ili kujenga, hatowapiga virungu na kuzima mtandao kuweni huru aijenge Tanzania.

Samia anaweza kutupa vitu vingi sana kwa muda mfupi kumaliza Ikulu ya Chamwino, Daraja la Busisi, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na Katiba mpya atawapatia na Tanzania yenye uchumi imara.

Haya mambo na hizi sifa hazina maana yoyote kwenye maisha yetu,

Tusifie kwenye ukweli na tuseme kwenye mashaka

Sio kila siku mnakuja na ngonjerea kibao

Kama kweli unataka kumsifia mh rais then jibu hoja anazoelekezewa yeye
 
Umeandika kumtetea mtu ambaye mioyo yetu wengi haipo kwake Tena. Uhuni uliotumika kwenye mkataba wa bandari umefuta hata mazuri kidogo aliyokuwa nayo. Usije ukandanganywa na kumalizia miradi ya Magufuli ukaona anafaa. Kwenye bandari alitaka kutupiga na kitu kizito mno. Narudia kizito mno. Hafai kabisa na Hafai Tena.
 
  • Je kuwakabidhi wageni bandari zote ndio kuwa na maono?
  • Ukisoma ule mkataba vizuri, hao DP ni mafalali. Wataleta kampuni wanazozijua ili kuendeleza na kusimamia bangari za Tanganyika. Je kampuni gani italetwa chumbani?
  • Kwa taarifa tu: Mrusi anajipigia Ukrain anavyoona inafaa kwa kuwa anaijua nje ndani, mpaka vile vichochoro vilivyopo mita 80 chini ya ardhi, kwa aliijenga zama hizo.
 
Amend IGA. It is amendable. In addendum 1 this proposal can be reflected. We have to do that valuation asap. On amendment it is just a matter of our government asking the other government for amendments. If they say no then the deal dies. Remember IGA has a window of 12 months and 7 gone. It isn’t rocket science really. Ni MAARIFA tu kaka unakosa.
 
Umeandika kumtetea mtu ambaye mioyo yetu wengi haipo kwake Tena. Uhuni uliotumika kwenye mkataba wa bandari umefuta hata mazuri kidogo aliyokuwa nayo. Usije ukandanganywa na kumalizia miradi ya Magufuli ukaona anafaa. Kwenye bandari alitaka kutupiga na kitu kizito mno. Narudia kizito mno. Hafai kabisa na Hafai Tena.

Ruhusa ya kuwasemea watanzania wote unaipata wapi…?
 
Haya mambo na hizi sifa hazina maana yoyote kwenye maisha yetu,

Tusifie kwenye ukweli na tuseme kwenye mashaka

Sio kila siku mnakuja na ngonjerea kibao

Kama kweli unataka kumsifia mh rais then jibu hoja anazoelekezewa yeye

Hoja ambazo wanasheria kila mtu ametafsiri kwa lugha yake…? Vijana wengi wameumwa propaganda hawasomi kuelewa ila mjibu tu. Je wajua kwamba tumebakiza miezi mitano tu kama hakutafanyika chochote mkataba huu utakuwa umekwisha hewani.
 
Back
Top Bottom