jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Habari za siku nyingi bidadaKwa udhamini wa Chato Empire.
Acha uje ccm imetesa sana wananchi na kutumia ujinga wa wanyonge kuonea watuNi suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM...
Kwani Chato umeua we kamongo? Mbona hutaki kurudi? Au uchawi wenu unawaaminisha JIWE litafufuka?Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Acha uoga wewe, au unapendwa kuitwa mnyonge?Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM....
Nyerere Hatumkumbuki itakuwaje yeye.
ulichoandika siyo kweli,wewe hujui kitu.Tungeendelea kutekeleza misimamo ya watanzania nchi ingeanguka.kwani unafikiri CCM ilikuwa hai? ilishakufa ila ilikuwa inaishi kwenye "ventillator" ambazo ni TISS,POLICE,TUME nkNi suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Dawa imewaingia vizuri sana mpaka kwenye mfupa. Bado wataendelea kuweweseka sana.Hivi nyie Mataga mnafikiria kwa kutumia nini hivi? Kwann Marehemu aliwaharibu sana akili nyie?
1. Wewe watu wakilipa kodi kwa haki ndio wanakuwa sio wanyonge?
2. Kuvifungia vyombo vya habari kwa sababu vimeruhusu mawazo mbadala ndio unyonge unaotakiwa?
Nyie kwenu unyonge hivi mnauchukuliaje hivi?
Kwann mnqchanganyikiwa kabisa na uongozi wa mama wa watu? Hebu acheni ujinga basi