Rais Samia, nchi haijengwi kwa kuzurura

Rais Samia, nchi haijengwi kwa kuzurura

You are so stupid like the incarnated version of Hangaya herself.

Kwahiyo tutakuwa tunawategemea wazungu kwa technology mpaka mwaka gani?

Baada ya miaka sitini ya uhuru, nilifikiri kwamba hii nchi tayari ingekuwa na wasomi ambao wana ujuzi na ufundi wa kushughulikia rasilimali za nchi?

Are you not ashamed of yourself to speak and write such rubbish!?

Jifiche kabisa, ingia uvunguni! FICHAMA. Unatia aibu.
Sasa unamlilia nani? sindano hujui kutengeneza unanililia mimi ili iweje?
 
Umeandika kwa hisia sana. Your fact cannot be improved further. Bi Mkubwa ni tawi bichi la Mstaafu wa Msoga.
Inaonyesha Walikeleka sana na kitendo Cha Magu kuzuia rout za nje
Sasa wakati niwao
Wao sindiyo wamshika shoka na mpini bwana acha wachanje Mbuga
 
You are so stupid like the incarnated version of Hangaya herself.

Kwahiyo tutakuwa tunawategemea wazungu kwa technology mpaka mwaka gani?

Baada ya miaka sitini ya uhuru, nilifikiri kwamba hii nchi tayari ingekuwa na wasomi ambao wana ujuzi na ufundi wa kushughulikia rasilimali za nchi?

Are you not ashamed of yourself to speak and write such rubbish!?

Jifiche kabisa, ingia uvunguni! FICHAMA. Unatia aibu.
Wasomi gani mjinga wewe? hii nchi imefikishwa hapa na kina nani? si mtu kama wewe kujifanya kuandika kizungu iliuonekani matawi ya juu. kuandika kiswahili tu unaona watu watakuona mjinga unaleta kizungu chako cha ujanjajanja. Unadhani sisi tunaondika kiswahili labda hatujui. heshimu kwa lugha yako hakuna cha usomi wala nini nyinyi ndio majanga ya nchi hii na vyeti vyenu fake hivyo mkafungie vitumbua.
 
Nasikia wewe ndo mshauri wa Hangaya?
 
Mpendwa Mama Samia,

Nchi hii haiwezi kujengwa kwa kuomba omba. Nchi inajengwa kwa kazi, bidii, na nidhamu ya utumishi wa umma.

Nchi yetu imebarikiwa kila aina ya rasilimali: Maji, Mito, Mabwawa makubwa, maziwa, madini ya kila aina, gesi, mafuta, chakula, nishati, ardhi kubwa yenye rutuba, nguvu kazi watu, mbuga, misitu, na kila aina ya rasilimali.

Kwa mambo hayo yote, hatuwezi kubabaikia wawekezaji. Wao ndio wanapaswa kutubabaikia sisi.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama tunavyo vitu vizuri, lazima waje wenyewe. Hizi ni basic principles za uchumi.

The Higher they demand, the better the price we get.

Unapojitembeza hovyo kwa wazungu kila kukicha wewe uko angani unaonekana Rais wa bei nafuu tu... Hamna watakachokupa zaidi ya kukutwika dozi za machanjo ya corona.

Halafu pia huko kuzunguka kwenda Ulaya mimi sijaona lolote la maana zaidi ya kunywa JUISI na wazungu tu na kuongea nao VIINGEREZA VISIVYOELEWEKA unabaki kuitikia tu YES YES YES YES YES... huku unatikisa kichwa kana kwamba unawaelewa kumbe hamna lolote!

Ukimaliza kunywa JUISI Ulaya unarudi unatuambia umetoka kutafuta wawekezaji!!!!!!

Hatuwezi kuendelea kama nchi kwa kuabudu wazungu. Lazima tutambue thamani tuliyo nayo na tujifunze kujitegemea. Itatuongezea potential.

Hii dependency syndrome inaua nchi. Ndio maana mnakabidhi wachina bandari kwa miaka hamsini na kwa bei chee ya kitapeli. Ati wahisani!!

Hatuwezi kuwa maomba omba milele. Jenga nchi! Tuache kuzurura hovyo!
Wewe ni kubwa jinga,wapi anapoomba? Wapi anapozurura? Tuko Dunia ya uwekezaji usipotafuta hao hiyo mitaji utaitoa wapi?

Ulipo hapo unachoweza ni kuandika ki thread uchwara kama hiki ila ukiulizwa uonyeshe uwekezaji wowote uliofanya kwenye rasilimali huna hata kitu cha kuonyesha.

Majitu mengine nyie ni hovyo na useless kabisa.
 
Sasa mama samia wapi kasema nchi itajengwa kwa kuzunguka
Ni majitu mapumbavu na yenye chuki tuu,ndani ya mda mfupi reserves ya fotex imeongezeka baada ya mama ku mobilise investors na value ya shilling imepanda..

Sasa hivi ajira zimefunguka sector binafsi inafanya vizuri lakini juhudi zote hizo wapuuzi wanabeza.

Yaliharibu hii nchi kwa miaka 6 yakaishia kuachia nchi lundo la madeni na vimiradi vyao ambavyo hakuna kilichoisha,pumbavu sana.
 
Mpendwa Mama Samia,

Nchi hii haiwezi kujengwa kwa kuomba omba. Nchi inajengwa kwa kazi, bidii, na nidhamu ya utumishi wa umma.

Nchi yetu imebarikiwa kila aina ya rasilimali: Maji, Mito, Mabwawa makubwa, maziwa, madini ya kila aina, gesi, mafuta, chakula, nishati, ardhi kubwa yenye rutuba, nguvu kazi watu, mbuga, misitu, na kila aina ya rasilimali.

Kwa mambo hayo yote, hatuwezi kubabaikia wawekezaji. Wao ndio wanapaswa kutubabaikia sisi.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama tunavyo vitu vizuri, lazima waje wenyewe. Hizi ni basic principles za uchumi.

The Higher they demand, the better the price we get.

Unapojitembeza hovyo kwa wazungu kila kukicha wewe uko angani unaonekana Rais wa bei nafuu tu... Hamna watakachokupa zaidi ya kukutwika dozi za machanjo ya corona.

Halafu pia huko kuzunguka kwenda Ulaya mimi sijaona lolote la maana zaidi ya kunywa JUISI na wazungu tu na kuongea nao VIINGEREZA VISIVYOELEWEKA unabaki kuitikia tu YES YES YES YES YES... huku unatikisa kichwa kana kwamba unawaelewa kumbe hamna lolote!

Ukimaliza kunywa JUISI Ulaya unarudi unatuambia umetoka kutafuta wawekezaji!!!!!!

Hatuwezi kuendelea kama nchi kwa kuabudu wazungu. Lazima tutambue thamani tuliyo nayo na tujifunze kujitegemea. Itatuongezea potential.

Hii dependency syndrome inaua nchi. Ndio maana mnakabidhi wachina bandari kwa miaka hamsini na kwa bei chee ya kitapeli. Ati wahisani!!

Hatuwezi kuwa maomba omba milele. Jenga nchi! Tuache kuzurura hovyo!
Watakwambia wewe ni Sukuma gang

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
wapi anapoomba? Wapi anapozurura? Tuko Dunia ya uwekezaji usipotafuta hao hiyo mitaji utaitoa wapi?.
Ona hili zuzu linavyoabudu mabeberu!

Wezesha wazawa wawe na mitaji na TECHNICAL KNOW HOW! Watawekeza na kuzalisha ajira kwa wananchi!

Sio kila beberu ni muwekezaji! Hata mtu mweusi anaweza kuwekeza pia!!

Build the economy, acha ulegevu wa kuhusudu mabeberu, hawawezi kuwasaidienii!

Mabeberu yapo kwa ajili ya kunyonya na kuvuna, sio KUWEKEZA! Ndio maana hayazingatii LOCAL CONTENT na TECHNOLOGY TRANSFER! Yanachota tu madini na gases zetu na kutokomea.

Hakuna WANACHOWEKEZA hapo, wizi mtupu!!

Si ajabu hata maana ya KUWEKEZA hujui wewe, umekaririshwa tu misamiati ya kipuuzi na wanasiasa usiyoelewa maana yake!
 
Mpendwa Mama Samia,

Nchi hii haiwezi kujengwa kwa kuomba omba. Nchi inajengwa kwa kazi, bidii, na nidhamu ya utumishi wa umma.

Nchi yetu imebarikiwa kila aina ya rasilimali: Maji, Mito, Mabwawa makubwa, maziwa, madini ya kila aina, gesi, mafuta, chakula, nishati, ardhi kubwa yenye rutuba, nguvu kazi watu, mbuga, misitu, na kila aina ya rasilimali.

Kwa mambo hayo yote, hatuwezi kubabaikia wawekezaji. Wao ndio wanapaswa kutubabaikia sisi.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama tunavyo vitu vizuri, lazima waje wenyewe. Hizi ni basic principles za uchumi.

The Higher they demand, the better the price we get.

Unapojitembeza hovyo kwa wazungu kila kukicha wewe uko angani unaonekana Rais wa bei nafuu tu... Hamna watakachokupa zaidi ya kukutwika dozi za machanjo ya corona.

Halafu pia huko kuzunguka kwenda Ulaya mimi sijaona lolote la maana zaidi ya kunywa JUISI na wazungu tu na kuongea nao VIINGEREZA VISIVYOELEWEKA unabaki kuitikia tu YES YES YES YES YES... huku unatikisa kichwa kana kwamba unawaelewa kumbe hamna lolote!

Ukimaliza kunywa JUISI Ulaya unarudi unatuambia umetoka kutafuta wawekezaji!!!!!!

Hatuwezi kuendelea kama nchi kwa kuabudu wazungu. Lazima tutambue thamani tuliyo nayo na tujifunze kujitegemea. Itatuongezea potential.

Hii dependency syndrome inaua nchi. Ndio maana mnakabidhi wachina bandari kwa miaka hamsini na kwa bei chee ya kitapeli. Ati wahisani!!

Hatuwezi kuwa maomba omba milele. Jenga nchi! Tuache kuzurura hovyo!
Kumekucha ,SSH Njoo huku, umeishaangushiwa jumba bovu,

Ila pomoja na rasilimali zilizopo ,hatuwezi fika Kama hatuwezi badilisha watu wenye mtazomo chanya ,

CCM hata mpate malaika ataaribika tu, tokana na nature ya chama chenyewe,na Wanachama wenyewe ambao wapo sofia tu , lakini kimefuga wezi na wapiga dili Sana ,hata Rais awe mzuri vipi, atajikuta ametumbukia shimoni, ogapa Sana wapigaji ni wahuni Kama wahuni wengine
 
Kuna uwezekano kuzurura kwake, mabeberu wakamuonea huruma kwa kumpata mikopo na misaada kwa sababu ni Rais mwenye Jinsia ya kike.
 
You are so stupid like the incarnated version of Hangaya herself.

Kwahiyo tutakuwa tunawategemea wazungu kwa technology mpaka mwaka gani?

Baada ya miaka sitini ya uhuru, nilifikiri kwamba hii nchi tayari ingekuwa na wasomi ambao wana ujuzi na ufundi wa kushughulikia rasilimali za nchi?

Are you not ashamed of yourself to speak and write such rubbish!?

Jifiche kabisa, ingia uvunguni! FICHAMA. Unatia aibu.
Anza wewe kwa kuonyesha mfano hiyo technology uliyonayo. Umesoma je elimu yako imeisaidia nini nchi kwenye suala la kuepukana na dependency? Watu mnajifanya mnaakili sana kwenye kukosoa lkn in reality unashindwa kuongoza hata familia yako. Hii dunia huwezi kuepukana na intergration in economic issues. Una ardhi,huna vitendea kazi ita mtu alime mgawane faida kuliko kuicha ardhi bure na kujisifu ' nina ardhi' kubwa wakati haikuingizii hata mia. Nonsence!!!
 
Back
Top Bottom