Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Eti wajengee sanamu. AKili yako iko kwenye sanamu badala ya kacha historia ichukue mkondo wake. Viongozi wazuri huwa hawajengewi sanamu wakiwa madarakani au wakiwa hai. Vinginevyto zitabaki kama zile sanamu za Saddam Hussein
Kama ni alama za Dr Samia na Dr Tulia utazikuta popote pale utakapo kwenda katika Taifa letu utaona mikono ya Rais samia.lakini pia ukienda katika mkoa wa Mbeya nako pia utakutana na alama na mikono ya Dr Tulia.
 
Wajengee tu ,kama huna pesa omba msaada kwa walamba miguu wenzako.
 
Hapo Mbeya, watoto wa viongozi gani wanafanya bodaboda? Niambie mzazi gani anapereka mtoto shule ili aje awe bodaboda, na upuuzi mwongine wa vicoba? Unajua watoto wa kikwete na Tulia wanafanya kazi gani?
Bodaboda na upuuzi mwingine,ni kazi tunafsnya kwa kuwa hakuna ajira za maana! Kijana wa TZ anahitaji kazi yenye mapato ya kumuwezesha kuishi vzr na familia, kuweka akiba, nk, mapato chini ya milioni 12! Kwa, mwaka, ni umaskini mtupu!
ZinazohiZinazohitajika ni ajira za viwandani,sio za vibarua kama pale urafiki, vijana w anahitaji ajira kama wale vijana walioajiliwa tigo,Vodacom, Airtel, (kampuni mama)
Ajira ambayo unaweza ukaamua kuitoa out familia, ukaenda hata zenj kula bata! Kijana wa boda anaweza hivyo?
Watoto wa kikwete ni marubani Uarabuni! Wewe unajivunia kuwa na vijanabodaboda wengi!!
CCM wameishashindwa, mfano mdogo tu, Kandarasi zote za madaraja,kule zenj, stend ya mabasi na uwanja wa Amani unajengwa, mkandsrasi ni mchina! Pesa inaenda nje! Kwa nini sio kampuni ya Ki Tanzania!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…