Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,078
Mama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
Imefanyiwa uwekezaji mkuu. Haijauzwa na jitahidi kuacha kuburuzwa na CHADEMA na kanisa kijana.Hekima ya kuuza bandari
Hakuna hekima yoyote uswahili mwingi tuMama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
Wewe unachukia waswahili? Sasa kaa kwa kutulia watafululiza kukutawala kama ifuatavyo:Hakuna hekima yoyote uswahili mwingi tu
Watu kama wewe mnahitaji kuvumiliwa.Hakuna hekima yoyote uswahili mwingi tu
Imefanyiwa uwekezaji mkuu. Haijauzwa na jitahidi kuacha kuburuzwa na CHADEMA na kanisa kijana.
Hakuna hoja hapo. Waarabu wakaribie upesi watuboreshee bandari na ulinzi tutawapa basi.Hivi mbona mkibanwa kuwa mtoe maelezo vizuri kuhusu bandari, mnakwepa hoja na kuingiza mambo ya vyama?
Leteni majibu ya hoja zinazotolewa na si kutukana na kutoa majibu marairaisi.
Kama huu mkataba ukipita kwa namna ulivyo, basi hakuna chama wala mwananchi atakaye salimika. Cunsequences huu mkataba zitawapata wote
Hakuna hoja hapo. Waarabu wakaribie upesi watuboreshee bandari na ulinzi tutawapa basi.
THUBUTU 😕IT WILL NEVER HAPPENWrwe unachukia waswahili? Sasa kaa kwavkutuliabwatafululiza kukutawala kamavifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?
Hata mkeo unamvumilia hakuna jipya hapoWatu kama wewe mnahitaji kuvumiliwa.
Hawa mtu aliyesogea mbele ktk ccm wala serikali. Political calculations zinakataa bosi wangu.THUBUTU 😕IT WILL NEVER HAPPEN
HUO NI MTAZAMO WAKO NA WISH ZAKO TU
2030 NI ZAMU YA WAGALATIA
Yeye mbona ndiyo tabia yake,alikuja Mwanza kuna Mama alipiga yowe,akitaka kuongea na yeye,Samia akasema atasikilizwa na viongozi wa Wilaya.Pia wakati wa Meimosi kuna mtu alitaka kuongea naye akaagiza atolewe nje.Sasa huo wosia ni kinafiki!RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.
Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.
“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.
“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Sawa bwana chauongo.Yeye mbona ndiyo tabia yake,alikuja Mwanza kuna Mama alipiga yowe,akitaka kuongea na yeye,Samia akasema atasikilizwa na viongozi wa Wilaya.Pia wakati wa Meimosi kuna mtu alitaka kuongea naye akaagiza atolewe nje.Sasa huo wosia ni kinafiki!
Haya yatatokea kwenye nchi ya kusadikika siyo Tanzania.Wrwe unachukia waswahili? Sasa kaa kwavkutuliabwatafululiza kukutawala kamavifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?