Rais Samia Mteue Ubunge Prof. Mussa Assad Kisha mteue awe waziri wa Fedha na Mipango

Nape anafaa alafu naibu awe Liz1 ili nchi ifunguke wapigaji wafanye yao mzunguko wa pesa uwepo mtaani.
 
Aisee! Yaan wew ni kiazi..
 
Did you get a chance to see the inside of a classroom????
 
Prof asad nilimchukia sana bila kuelewa ukweli wa mambo mara tu baada ya kuteuliwa aliomba ofisi yake ya cag irekebishwe apate sehemu ya kuswalia nikamuona ni mdini ila ni kutokujua kwangu badae nilimuelewa ni mcha Mungu sana. Nikampenda zaidi alipoimbua serikali ya jpm bila woga wowote juu ya upotevu wa 1.5 tr niseme ukweli prof asad nampenda mno na nakubaliana na mtoa mada ila kwabahati mbaya serikali zetu za african hazipendi watu au ya Asad.
 
Kasome katiba ya Jamhuri ya Muungano inshort ukishatumikia cheo cha CAG na ukastaafu hurusuwi tena kuwa mtumishi wa umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2064053

Tatizo la WADANGANYIKA ni wasahaurifu na ni rahisi kudanganyika!! Ni huyu huyu ASSAD Akiwa Mwenyekiti wa AUDIT committee ya bodi ya NSSF ndio alihusika na uwekezaji wa kifisadi na mwenzie RAMADHAN DAU mpaka shirika kufirisika na wazee waliowekeza hela zao huko mpaka leo wanahangaika kwani shirika halina hela za kuwalipa na wengine wametangulia mbele ya haki bila kufaidi malimbikizo yao! Na bado mazuzu wengine kwa upofu wao wanamsifia Assad!
 
Nikampenda zaidi alipoimbua serikali ya jpm bila woga wowote juu ya upotevu wa 1.5 tr niseme ukweli prof asad nampenda mno na nakubaliana na mtoa mada ila kwabahati mbaya serikali zetu za african hazipendi watu au ya Asad.

Unakumbuka pale IKULU alipoulizwa na marehemu JPM juu ya upotevu wa hizo tri.1.5 alijibu nini? Angekuwa mkweli na jasiri asingeogopa kujibu tofauti na alivyoufyata mkia wake!! Sio muadilifu bali anawahadaa wajinga kuwa sio Jihadist!
 
Unakumbuka pale IKULU alipoulizwa na marehemu JPM juu ya upotevu wa hizo tri.1.5 alijibu nini? Angekuwa mkweli na jasiri asingeogopa kujibu tofauti na alivyoufyata mkia wake!! Sio muadilifu bali anawahadaa wajinga kuwa sio Jihadist!
Alitumia busara unless hujui nguvu ya rais anapokuhoji maswali ya papo kwa papo tena ikulu mbele ya kamera.
 
Alitumia busara unless hujui nguvu ya rais anapokuhoji maswali ya papo kwa papo tena ikulu mbele ya kamera.
Hakuna cha busara ni unafiki tu; huku unasema hiki na kule unaseme kingine!! Ukweli ni ukweli tu mahala popote. Unaona sasa anakosa credibility kwani haijulikani wapi atasema ukweli na wapi ataongopa!!
 
Alikuwa na hisia zake mchanganyiko dhidi regime ya hayati JPM.
 
Sheria hairuhusu CAG kuteuliwa ili kulinda uhuru wa ofisi ya CAG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…