PostGE2025 Rais Samia: Marufuku Hospitali kuzuia MAITI, nimeshatoa maelekezo kwa watendaji

PostGE2025 Rais Samia: Marufuku Hospitali kuzuia MAITI, nimeshatoa maelekezo kwa watendaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake amesema tayari ameshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zikiendelea na taratibu za kulipa deni la gharama za matibabu zinazolinda utu wao.

Hata hivyo, amesema kupitia mpango wa bima ya afya kwa wote, kadhia hiyo itakomeshwa kwa kuwa gharama za matibabu zitalipwa na bima ya anayekwenda kutibiwa, hivyo wananchi wahakikishe wanakuwa na bima hiyo.
 
Kwahio kumbe anajua zipo na zinazuiliwa (kwanini hakuwaambia hata kwa SMS from day one wasizizuie)? Be still why are they dead in the first place ? Na waliowauwa watawajibika ?!!!!

Na zipo ngapi huko mahospitalini ? Je na zile fununu kwamba kuna mabazo wamezika kwenye mass graves ? Ni Ukweli au ni Uzushi ?

Na kati ya hizi wale raia wa nje nao wataruhusiwa au tuliteleza ulimi na hawakuwa wa nje ?
 
Waambie na kiwanda cha Twiga Cement tunataka miili ya wapendwa wetu.
 
Back
Top Bottom