Rais Samia: Kuanzia Julai Bomba la Mafuta Ghafi (EACOP) kuanza kazi

Rais Samia: Kuanzia Julai Bomba la Mafuta Ghafi (EACOP) kuanza kazi

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleanimkoani Tanga nchini Tanzania kuanzia mwezi Julai, Meli ya kwanza ikaondoka Tanga kupeleka mafuta yanakopelekwa
 
Itaanzaje kazi wakati itakuwa haijakamilika kwa upande wa Tanzania? Hivi viongozi wanapata faida gani kusema uongo kwa kitu kisicho na ulazima.
 
Huyu ni mwongo mkubwa!! Hiwa hawasiliani na wataalam? Ujenzi wa hilo bomba; bado sana
 
Back
Top Bottom