Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Jumamosi Agosti 9, 2025, Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu amechukua fomu Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Urais wa Tanzania akiwa na mgombea mwenza, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi; hii ni mara ya tatu kwake kufika chombo hicho cha juu cha uchaguzi, safari hii ikiwa kubwa zaidi kuliko zilizopita.
Agosti 4, 2015 Dkt. Samia alifika tume ya taifa ya uchaguzi NEC akiwa akiwa kama mgombea wa nafasi ya Umakamu wa Rais huku akiambatana na mgombea Urais Hayati John Pombe Magufuli.
Agosti 6, 2020 Hayati Dkt. Magufuli alichukua fomu ya Urais aliambatana Dkt. Samia ambaye alikuwa Makamu wake wa Rais.
Hata hivyo Dkt. John Pombe Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021 akiwa na umri wa miaka 61 baada ya kuugua kwa muda mfupi.