Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Of what use ? Kwani hatukuwa na Ikulu?Ameandika haya Rais samia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter.
Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii adimu na adhimu, miaka 50 toka Serikali ilipoweka azimio la kuhamisha Makao Makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma.
Ikulu hii ni kilele katika azma ya Serikali kuhamia Dodoma. Safari ya miaka 50 kufikia siku hii ni ya demokrasia kwani nia ya kuhamia Dodoma ilipitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973, baada ya kura ya maoni katika matawi yake nchi nzima. Safari hii ina mchango wa namna yake kwa kila awamu iliyowahi kuiongoza nchi yetu:
1. Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Alhaji Ali Hassan Mwinyi
3. Hayati Benjamin William Mkapa
4. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
5. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu ni ya kila Mtanzania, na kupitia sanduku la kura sote tunaamua nani wataingia katika kipindi fulani kukutumikia Watanzania wote. Ujenzi wa Ikulu yetu wenyewe kwa nguvu zetu, fedha zetu na utaalamu wetu ni moja ya shuhuda za uhuru wetu kama nchi.
Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma, na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.
MBONA KAANDIKWA HAPO NAMBA TANO ,WEWE NDO UNAMKWEPA ALAF UNASEMA WENGINEInashangaza wanamkwepa JPM wakati wapo kwenye muhula wake. Kura alipigiwa JPM
Mnaendeleaje hapo chattle mkuu!!Madam President katoa ujumbe mzuri sana nimeupenda sana hususani kipande hiki"....Hayati Magufuli ameandika hadithi yake.
Hii ni hadithi ni ya kwanza bado kuna hadithi nyingine nyingi sana uzinduzi wa mji wa mtumba, uzinduzi wa bwawa na umeme, uzinduzi wa SGR ,uzinduzi wa bomba la mafuta na mengine mengi. Hakika wasiompenda Magufuli watateseka sana.
Natumia walinda legacy sasa watatulia maana JPM ametajwa!!Ameandika haya Rais samia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter.
Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii adimu na adhimu, miaka 50 toka Serikali ilipoweka azimio la kuhamisha Makao Makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma.
Ikulu hii ni kilele katika azma ya Serikali kuhamia Dodoma. Safari ya miaka 50 kufikia siku hii ni ya demokrasia kwani nia ya kuhamia Dodoma ilipitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973, baada ya kura ya maoni katika matawi yake nchi nzima. Safari hii ina mchango wa namna yake kwa kila awamu iliyowahi kuiongoza nchi yetu:
1. Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Alhaji Ali Hassan Mwinyi
3. Hayati Benjamin William Mkapa
4. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
5. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu ni ya kila Mtanzania, na kupitia sanduku la kura sote tunaamua nani wataingia katika kipindi fulani kukutumikia Watanzania wote. Ujenzi wa Ikulu yetu wenyewe kwa nguvu zetu, fedha zetu na utaalamu wetu ni moja ya shuhuda za uhuru wetu kama nchi.
Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma, na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.
Bado SGR inakuja hiyo ndiyo kubwa kulikoMnaendeleaje hapo chattle mkuu!!
MBONA KAANDIKWA HAPO NAMBA TANO ,WEWE NDO UNAMKWEPA ALAF UNASEMA WENGINE
Samia amefika point ya kutokuwa na aibu kwa kweli anasikitishaInashangaza wanamkwepa JPM wakati wapo kwenye muhula wake. Kura alipigiwa JPM