Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,812
- 40,297
Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi?
Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya Mdude.
Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana JamiiForum .
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani Magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart Magufuli pole sana.