Nakubaliana na wewe hawa wamezingua hasa mbowe kujibu kiujeuri na yule mdudeHawa jamaa wa CDM ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake. Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Million 300 zimerudishwa baada ya CDM kuigaragaza serikali kwenye rufaa sio favor hii.Hawa jamaa wa CDM ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake. Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Hili swala nilimind sana, yani jamaa anaita press conference anamuwekea Mama kibesi, anaongea kwa kum commandNakubaliana na wewe hawa wamezingua hasa mbowe kujibu kiujeuri na yule mdude
Wewe mpummbafu kweli - imbecile, nenda Mirembe hospital ukatibiwe, akili ya kuku kabisaMwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo
Kidumu chama cha mapinduzi
USSR
Kipindi cha Magu zingerudi?Million 300 zimerudishwa baada ya CDM kuigaragaza serikali kwenye rufaa sio favor hii.
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo
Kidumu chama cha mapinduzi
USSR
Umekuwa kimya kimya sana wewe mrembo . as cold as January
USSR