Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Kweli kabisa.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Hadi msukimaTrue, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Samahani kuhusu SCANIA.....sema gia ya MBAULA FIAT 682 N3 Mkasi juu mkasi chini......Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Na pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswi kuitwa Dr au Professor
Pigana na huo u Dr mkuu kama una maslahi.Hii kukosa hoja ndugu yangu
Title ya Dr haijibebi yenyewe labda doctorate degree za ccm. Mbele ya title ya Dr hufuatiwa na taaluma husika au aina ya degree iliyosomewa darasani.Umenoa. Hii haikuanza juzi.
Doctor Samia ✅
Bora huyu inajulikana kuwa alitunukiwa, kuna yule aliupata kwa njia ambazo hazieleweki, Bensanan alipofatilia juu ya hiyo PhD kilimkuta kilichomkuta mpaka leo hatujui yuko wapi. Sasa hapo bora yupi kati ya mwenye feki au halali lakini ya kupewa na iko waziKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Asante sanaHili halikubaliki, nimekuripoti ili mode wafanye the needful
P
Ilianzia kwa Jakaya Kikwete na ndo mwanzilishi wa haya. Lengo kuficha aonekane ana elimu kubwa. Lengo lilikuwa kudilute mgombea wa upi Dr Slaa. Mama naye naona kaiga.True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.