NECTA ipo hoi kuliko hata hoi yenyeweIt's for political reasons, sijui future ya NECTA yetu Kama hivi ndivyo elimu inavyosimamiwa
Kweli tupuNa pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswu kuitwa Dr au Professor
Dr. MusukumaDr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Magufuli we ulisoma naye PhD? We bwege kweli, unajua kilichomwua Ben Saanane? Bora Samia anatunukiwa na vyuo vinavyotambulika, tena hadharani bila kificho. Tuambie huyo mfu wako alitunukiwa lini, we ulihudhuria akitunukiwa? Samia ana masters kutoka mojawapo ya chuo kikuu bora duniani "Manchester University" umesikia we bwege? Anayetoa degree yoyote ni chuo baada ya kuona umekamilisha vigezo. Hiyo chuki na wivu havitakuacha salamaKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Yule Mzee alikuwa na akili sana na asiyependa kujimwambafy.mimi nikitunukiwa leo PHD ole WAKO Kesho uniite kikawaida tu.mi Dr bwana.Nyerere alipata PhD kadhaa lakini hakuwa akiitwa Dakta...
NI kweli cha msingi mkate mezani.Aitwe asiitwe haitusaidii kitu
Tanzania na Watanzania kwasasa hakuna Rais hapa. Kama atagombea huyu mkataeni kwa nguvu zote kwa faida ya kesho yetuKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Samia kaishia FOM FOO.Magufuli we ulisoma naye PhD? We bwege kweli, unajua kilichomwua Ben Saanane? Bora Samia anatunukiwa na vyuo vinavyotambulika, tena hadharani bila kificho. Tuambie huyo mfu wako alitunukiwa lini, we ulihudhuria akitunukiwa? Samia ana masters kutoka mojawapo ya chuo kikuu bora duniani "Manchester University" umesikia we bwege? Anayetoa degree yoyote ni chuo baada ya kuona umekamilisha vigezo. Hiyo chuki na wivu havitakuacha salama
"....wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai".Kuna hatari kubwa sana kwako ya kukumbwa na yaliyomkumba Ben Saanane.
Kumbuka; aliyekufa ni Mwendazake peke yake, wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai. Na mbaya zaidi sasa hivi wamejitungia Sheria yao ili wasiweze kushitakiwa Mahakani kuhusiana na makosa yao yote ya jinai ambayo watatenda. Be Very Careful my dear, "Noah Nyeusi" hazitakauka nyumbani kwako na kazini kwako.
Wanampamba lakini hakuna kituNI kweli cha msingi mkate mezani.
[emoji23][emoji23]Hili nalo mkalitizame.
Daktari mwenye vyeti vya kuunga unga daktari hata ishu ndogo ya mafuta na umeme vimemshinda labda dokta wa kienyeji.....By the way ndo mama yenu huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Sawa,basi bwanako ndio tutamuita doktaKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Acheni chuki nyie wala nguruweDaktari mwenye vyeti vya kuunga unga daktari hata ishu ndogo ya mafuta na umeme vimemshinda labda dokta wa kienyeji.....By the way ndo mama yenu huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]