GE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo yanayomalizika katika awamu moja

GE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo yanayomalizika katika awamu moja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,456
Reaction score
5,290
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maendeleo ni mchakato wa hatua endelevu na hakuna awamu inayoweza kuyakamilisha yote.

Akizungumza leo kwenye mkutano wa kampeni Makunduchi, visiwani Zanzibar, Dkt. Samia amewashukuru wananchi kwa mshikamano waliouonesha katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na kuwawezesha serikali kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo.

 
Back
Top Bottom