Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Ukweli ni kuwa rais samiha anacheza mziki mnzuri sana atakula hela na misaada hadi atachoka wazungu wanaheshimu sana nchi zinazosikiliza maoni ya Bunge na maoni ya wapinzani..

Tanzania tutegemee neema.
 
Sawa Tu
 
Nasikia sauti za tausi kwa mbali kwenye clip hii. Vitu natamani kwa TISS ni ujasusi wa kiuchumi na mfumo mpya wa recruitment. Hayo mengine ni kazi za kawaida zinazofanywa kila siku
Nitalifurahia sana hilo lakini bado nina mashaka nalo je tayari tumepevuka kufikia hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…