Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,154
Tangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.
Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na mega-projects kama Bwawa kubwa la kufua umeme, ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mengine mengi.
Samia huyu toka aingie yeye ni mwendo wa Corona tu. Gia yake ya kwanza alipoingia madarakani ni CHANJO.
Gia ya pili ni TOZO na kupandisha gharama za bidhaa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Sijaona kama ana jambo jipya lenye tija alilolifanya mpaka sasa.
Nasikia anafungulia DEMOKRASIA. Watu wawe huru KUBWATA kila mahali bila kukamatwa na GESHI RA PORISHI.
Leo hii mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1000 Tshs ndani ya miezi miwili tu! Hii ni kitu gani? Ukiuliza unajibiwa kirahisi sana "Vita ya Ukraine"!
Hata alizeti tunayoilima singida nayo imekuwa haba kwa sababu ya vita ya Putin na Zelensky.
Kila kitu bei juu, mafuta juu, chakula juu, miamala ya fedha juu, vifurushi juu, kila kitu juu.
Tunahitaji Rais anayeweza kuidhibiti nchi na kuiongoza. Hii kujitepesha kizenji haiweza kutusaidia.