Rais Samia amteua Amos Gabriel Makalla kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Kwa mujibu wa taarifa ya leo Agosti 23, 2025 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, CPA. Makalla anachukua nafasi ya Bw. Kenan Laban Kihongosi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi.

Taarifa hiyo imebainisha kuwa uapisho wa Mkuu wa Mkoa Mteule utafanyika tarehe 26 Agosti, 2025 saa 05.00 asubuhi, Ikulu Chamwino, Dodoma.
1755978131482.png
 
View attachment 3450614
Mi nadhani Arusha ya sasa ni kama lindi tu machali wamechoka sana
 
Ndugu zangu hii nchi inahitaji Katiba mpya ya Wananchi! Namaanisha ile iliyopendekezwa kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba! Kinyume na hapo, watawala wataendelea kutuona kama maiti zinazotembea, mpaka kiama.

Kinyume na hapo ajitokeze tu Ibra Traore wa Bongo, halafu afanye ya kwake.
 
Hahahaha. Na wadudu watampokea Mkakalla na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom