Rais Samia Amewatetemesha Watanzania

Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Mambo ya siasa
Unafurahia Makonda kutenguliwa baada miezi sita unasikia ameteuliwa kuwa Waziri
 
Makonda sehemu anapostahili kuwa ni gerezani akisubiria kunyongwa hadi afe.
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Kwani Makonda katenguliwa? Au umewwhuka?
 
Hawajabubujika tena?😂😂😂
 
Mtego wa Makonda unamfanya kila mtu asahau mambo ya msingi, yaani ccm haitoki leo au kesho, wanajua kucheza na akili zetu. Mambo ya CAG na report yake yenye uchafu sehemu zote imefunikwa na teuziya Makonda.

Bado safari yetu ni ndefu.
Acha uongo....tangu lini Ccm imesimamia Ripoti ya cag hadi usema makonda kaja kuvuruga?
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Maluelue na mabalaa yanamfata kila alipo.

Alienda kwa
 
Acha uongo....tangu lini Ccm imesimamia Ripoti ya cag hadi usema makonda kaja kuvuruga?
Unasoma kwa mihemko sana, wapi nimesema ccm inasimamia ripoti? Unajua maana ya kutoa watu kwenye agenda? That's what ccm is doing.
 
Takataka tu hakuna hoja yenye mantiki
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Sasa ataenda la Sokoine Monduli juu,baada ya hapo Kisongo akarushe ndege
 
Makonda kashafanya kazi yake anapewa mission ingine mazee
 
Mheshimiwa Makonda ni mchapakazi sana tena sana na ndio maana anaendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais na kupewa jukumu la kumsaidia kuongoza jiji la Arusha.jiji la kitalii na la kipekee kabisa na la kimkakati kabisa katika uchumi wetu
Sababu za kuondolewa kwenye uenezi ni zipi kama ni mchapakazi sana??
 
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu si unajua kuna mikeka kama miwili inakuja mwezi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…