Tumekusikia..nenda kanye kisha ukalale.Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.
Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.
- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.
- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.
- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.
- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.
- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.
Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.
Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.
Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
- Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
- Sahivi anatawala kwa raha Sana
Ulivyo wa hovyo hata kuandika unaandikwa utopolo!Ilo jitu lenu lilikuwa la hovyo ndo maana kila mtu analogwaya
Mimi nalingana na watu waungwana tu. Siwezi kulingana na mijitu mijizi, minyang'anyi na miuaji kama hayo akina Sabaya/ Makonda/ Magufulisasa wewe unalingana na yupi kati yao??upuuzi uko nao tunaujua sisi tuko nawewe jf 24hrs,hamna mtu kalio kama wewe yaani.
Alifanya nini ambacho wengine walishindwa kufanya? Au wewe Hero umezaliwa mwaka 2010 hivyo hujui kazi wamefanya akina Mkapa, Mwinyi na Nyerere?Wa hovyo ni wewe na mtazamo wako! Sasa hayupo Fanyeni basi hata robo TU ya alichokuwa anakifanya kwa nchi yake na raia wake kama ninyi mna maana yoyote mfyuuuuu!
Mnapiga makelele ya kipumbufu wakati raia wanataka maendeleo kwa kuboresha huduma! Mnachoweza ni kukatakata umeme, na maji! Kupandisha bei vitu kwa kuachia mfumko wa bei! Mnachoweza ni wizi TU mapungu nyie mfyuuuuu!
Kama hujui basi akili yako hauwezi kufunzika!Alifanya nini ambacho wengine walishindwa kufanya? Au wewe Hero umezaliwa mwaka 2010 hivyo hujui kazi wamefanya akina Mkapa, Mwinyi na Nyerere?
Shetani wa Chato aliwajaza propaganda za uwongo kwa vile alijuwa watanzania wengi ni wajinga
Duh!Tumekusikia..nenda kanye kisha ukalale.
Mkuu 'Mto wa mbu',Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.
Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
Umeandika mstari mfupi tu lakini wenye uzito mkubwa sana.Mama Samia uwezo wake ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha, sio mambo makubwa ya kujenga nchi.
muungwana huwa haweki kinyongo mwaka mzima,muungwana anajua kifo sio adhabu ni njia yake pia,muungwana husikitikia waovu badala ya kuwanenea mabaya.Mimi nalingana na watu waungwana tu. Siwezi kulingana na mijitu mijizi, minyang'anyi na miuaji kama hayo akina Sabaya/ Makonda/ Magufuli
Ndio uliletwa na yeye kwani uongo??alikuwa anapika data tu.alifeli kwa kila jambo mleta mada umesema kweli yote.aliamini kwenye kuvuruga nchi,vuruga uchumi wa nchi na wa wananchi,ukabila ulishamili hasa wa kipande cha wale washamba wachunga ng'ombe.Umaskini mkubwa ndio maana World Bank wakkaitangaza Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati. Amekufa Maghufuli hata miaka 2 bado the same World Bank wanairudisha Tanzania katika nchi yenye uchumi duni. Huo ndio umaskini ulioletwa na JPM???
Ng'ombeUlivyo wa hovyo hata kuandika unaandikwa utopolo!
Ameharibuje uchumi, elezeaNi kweli Ila Ana haribu uchumi Sana na kusababisha rushwa I we kubwa
Angalau ng'ombe anafaida chawa wewe!Ng'ombe