Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,469
- 11,252
Ndo ukweliAisee!. Ni kweli kabisaa
Mada inamuhusu Samia, lkn kila sentensi kuna jina la Mbowe. Chawa mmekuwa mkitafuta ugali wenu kwa njia nyingi mpaka njia nyingine zinawaboa wasomaji wa mada zenu. Haya ngoja tuone kama Mbowe atakwita ufipa ukachukue elf 5000 za kilo ya unga.Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.
Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially...
Wazazi wako wana hasara sana bichwa kubwa akili funzaTulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.
Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote...
Ndo ukweli eg KenyattaUkiwa mwaminifu ukafata sheria na katiba unatawala kwa raha.
Mbona JPM hakuongeza,? Hiv kweli huoni mabadiriko, Samia ameumiza watu kuliko JPM, Niwekee list ya watu alioumiza Samia, mie naweka ya JPMTumefundindishwa sisi Marehemu haswemwi,
lakini ndugu muandishi nikuulize mbona mnatumia Minguvu sana kumsifia huyu Mama.
Anyway inaonekana uchumi wako umelindwa laiti ungeguswa usingeandishi maandiko kama haya.
Waheshimu Marehemu ,waombee lkn pia heshimu basi hata kidogo Familia yake
Mwisho
nikupe taarifa MIRADI YOTE ANAYOZINDUA mama mwanzilishi ni JPM chuma kutoka chato
vitu ambavyo MAMA ameanzisha ni TOZO na kwenda kumpeleka PETER kutalii kwenye hifadhi zetu bila kulipa chochote na kumlipa 7B
Swala la watumishi kuongezewa mishahara sisi halituhusu maana huwezi kuwa na watoto ukaacha kuwahudumia akati ni jukumu lako
hivyo ni jukumu lake kuwaongeza na kuwapandisha madaraja na ipo kwa mujibu wa sheria.
MImi ni CCM kindakindaki na sisi CCM NI WAKWELI.wanachama wote ni sawa .sio Samia wala JPM,
POVU RUKSA
Cheki hii ngombeMada inamuhusu Samia, lkn kila sentensi kuna jina la Mbowe. Chawa mmekuwa mkitafuta ugali wenu kwa njia nyingi mpaka njia nyingine zinawaboa wasomaji wa mada zenu. Haya ngoja tuone kama Mbowe atakwita ufipa ukachukue elf 5000 za kilo ya unga.
Watanzania muache tabia ya kujipendekeza kwa wanaume wenzenu na baba wa wenzenu, hii ni aibu kwenu na kwa familia zenu. Mtaendelea kuuza utu wenu kwa sababu ya njaa zenu mpaka lini?
Yule useless man alijenga nini zaidi ya kuleta umasikin mkubwaMama Samia uwezo wake ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha, sio mambo makubwa ya kujenga nchi.
Ngombe za Kihonghosi [emoji3]Wazazi wako wana hasara sana bichwa kubwa akili funza
Hivi upo serious au ni mabangi! Au unafikiri watz wote ni mataahira kama wewe?Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.
Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.
- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.
- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.
- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.
- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.
- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.
Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.
Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.
Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
- Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
- Sahivi anatawala kwa raha Sana
Mkuu tuambie alichotulisha matango pori hapo.Usiwe unaandika sana mkuu mpaka vitu vingine unatudanganya. Andika kwa kiasi,mengine mihemko.