viwanda vipi wee bwabwa , mmetengeneza umasikini kwa vijan ajira hakuna , wamejiajiri wenyewe kwa kuendesha mapikipiki mkajidai kuwapa majina ooh maafisa usafirishaji na wao walivyokuwa maboya wanakubali kabisa kwamba hiyo ni ajira rasmi tena imetengenezwa na serikali yenu haramu. Maisha ya bongo mafuta lita karibia buku tano wee umbwa unakuja kuleta ngonjera huku, kisa umelipwa vibukubuku ulambe makalio ya mama abduli, SHAME.