Rais Samia Agusa mioyo ya watu Baada ya kukataa Uwanja Kuitwa kwa jina Lake. Ampatia John Malecela Heshima Hiyo kutambua Mchango wake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,354
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote.

Hana tamaa wala uchu wa ufahari binafsi. Hapendi kujikweza Mama yetu, hana Makuu Mama na Rais wetu Mpendwa. Kwake uongozi ni utumishi kwa watu. Kwake Uraisi ni kwa ajili ya kuwawezesha watu ,kuwainua watu,kuwashika mkono watu,kuwapa tabasamu, matumaini,furaha na kicheko.

Ndio sababu ya kuonekana akiwa karibu na watu,kufanya vitu vinavyogusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watu. Hatafuti utajiri wake binafsi bali anatafuti njia ya kuwafanya watanzania wawe matajiri na kuepukana na utegemezi wa kipato. Ndio sababu ya kuumizwa na shida na matatizo ya watu.

Sasa leo Rais wetu amefanya jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na viongozi wa kiafrika au mtu yeyote yule . Unajua amefanya nini Rais wetu Mpendwa? Embu soma hapo chini 👎VIDEO:

Rais Samia Suluhu Hassan ameutunuku jina la Dkt. John Samuel Malecela uwanja wa Nzuguni mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kitaifa ya Nanenane yanayofanyika mkoani humo.

Akihutubia katika hafla ya maonesho ya 32 ya kilimo, mifugo na uvuvi, Rais Samia amesema awali Wizara ya Kilimo ilipendekeza uwanja huo uitwe kwa jina lake, lakini alikataa na badala yake akapendekeza uwe na jina la kitaifa au kutunukiwa jina la kiongozi mstaafu huyo, kutokana na mchango wake mkubwa kwa taifa.

“Wizara walipendekeza uwanja huu uitwe jina langu lakini nikasema hapana… nina heshima kutangaza jina la uwanja huu kuwa Uwanja wa Dkt. John Samuel Malecela,” amesema Rais Samia.

Malecela alikuwa Waziri Mkuu wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Sinde Warioba. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Novemba, 1990 hadi tarehe 5 Desemba, 1994 akifuatiwa na Fredrick Tluway Sumaye.
Screenshot_20250808-153243_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote.

Hana tamaa wala uchu wa ufahari binafsi. Hapendi kujikweza Mama yetu, hana Makuu Mama na Rais wetu Mpendwa. Kwake uongozi ni utumishi kwa watu. Kwake Uraisi ni kwa ajili ya kuwawezesha watu ,kuwainua watu,kuwashika mkono watu,kuwapa tabasamu, matumaini,furaha na kicheko.

Ndio sababu ya kuonekana akiwa karibu na watu,kufanya vitu vinavyogusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watu. Hatafuti utajiri wake binafsi bali anatafuti njia ya kuwafanya watanzania wawe matajiri na kuepukana na utegemezi wa kipato. Ndio sababu ya kuumizwa na shida na matatizo ya watu.

Sasa leo Rais wetu amefanya jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na viongozi wa kiafrika au mtu yeyote yule . Unajua amefanya nini Rais wetu Mpendwa? Embu soma hapo chini 👎VIDEO:

Rais Samia Suluhu Hassan ameutunuku jina la Dkt. John Samuel Malecela uwanja wa Nzuguni mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kitaifa ya Nanenane yanayofanyika mkoani humo.

Akihutubia katika hafla ya maonesho ya 32 ya kilimo, mifugo na uvuvi, Rais Samia amesema awali Wizara ya Kilimo ilipendekeza uwanja huo uitwe kwa jina lake, lakini alikataa na badala yake akapendekeza uwe na jina la kitaifa au kutunukiwa jina la kiongozi mstaafu huyo, kutokana na mchango wake mkubwa kwa taifa.

“Wizara walipendekeza uwanja huu uitwe jina langu lakini nikasema hapana… nina heshima kutangaza jina la uwanja huu kuwa Uwanja wa Dkt. John Samuel Malecela,” amesema Rais Samia.

Malecela alikuwa Waziri Mkuu wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Sinde Warioba. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Novemba, 1990 hadi tarehe 5 Desemba, 1994 akifuatiwa na Fredrick Tluway Sumaye.View attachment 3435887

Hapendi kutukuzwa
 
Wamemdelete Job! Leo wanampa Malekela heshima ya jina la viwanja vya 88 ndio asante kwa kazi ya kwenda kumshawishi job ajiuzuru! Wahuni wana team bwana!
 
Achia ngazi bibi, mchuma unaondoka huo
 
Ila bongo😂
 
JPM alikuwa anatoa majina kwa kila kitu, hata mbuzi akizaa
 
Back
Top Bottom