Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 575
- 2,559
Mto haumwagii nje hata ukipatwa na mafuriko...😜😜Mapuri,
Mapuri,
Mapuri,
Hii nchi bwana utadhani watu hawazaliwi.
Huyu Mapuri mzanzibar bado yupo?Nilijua alishakufa.Prof Mshoro ndani. Haya mama zamu ya wazanzibari hii.VamosRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali kama ifuatavvo:
- Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Jaji Mstaafu Mbarouk ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kipindi cha pili.
- Amemteua Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Mhe. Balozi Mapuri ameteuliwa kuwa Mjumbe kwa kipindi cha pili.
- Amemteua Dkt. Zakia Mohamed Abubakar kuwa Mumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi unaanza tarehe 01 Julai, 2023.
- Amemteua Prof. Idrissa Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA). Prof. Mshoro ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi kwa kipindi cha pili.
- Amemteua Bw. Benjamin Mashauri Magai kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Kabla ya uteuzi Bw. Magai alikuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
Uteuzi huu umeanza tarehe 25 Juni, 2023.
View attachment 2673170
Statement hii haina afya wala logic, wanakwenda kufanya kazi ya Umma si vinginevyoKajaza wale watu wametumzisha leo 🕋
Kama hivyo jangwani kusingekuwaga na mafuriko ya mto msimbazi.Mto haumwagii nje hata ukipatwa na mafuriko...
Hutaki..??Kajaza wale watu wametumzisha leo 🕋
Sasa hapo unakosea kuna teuzi nyingi zinakuwaga na dini moja ila husikii upande mwinhine ukilalamika, kwahiyo wewe ukiona teuzi tu unaangalia dini gani aiseUdini udini udini udini. Huyu mama tutamoa zawadi yake 2025.
Maaskofu shtukeni mmependishwa mtumbwi sio. Anawapiga huku anawapuliza. Huyu mama ni mdini mno
Kachagua wenye sifa, hilo la udini ni ufinyu mdogo wa kufikiri mliokuwa naoUdini udini udini udini. Huyu mama tutamoa zawadi yake 2025.
Maaskofu shtukeni mmependishwa mtumbwi sio. Anawapiga huku anawapuliza. Huyu mama ni mdini mno
huna haja ya kusema udini, mimi ni mkristu nafahamu kuwa wakristu wapo wengi wameshikilia nafasi mbalimbali serikalini kuliko waislamu lakini baadhi ya wakristu wenzangu mna nongwa sana.Udini udini udini udini. Huyu mama tutamoa zawadi yake 2025.
Maaskofu shtukeni mmependishwa mtumbwi sio. Anawapiga huku anawapuliza. Huyu mama ni mdini mno