Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,378
- 30,348
Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Sasa hela za Waarab zilizoliwa itakuwaje?Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Kwani ccm wanategemea kura zenu kushinda chaguzi?Hili litamvurugia pakubwa sana 2025.
4)...watanzania wamepigwa na butwaa..."[emoji44][emoji44]Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Tanzania tumekuwa na Mali asili nyingi na Mbuga za wanyama kibao.Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Wewe unaweza kumkemea Mama Samia waziwazi?Mwana CCM nyuma ya keyboard,
Toka wazi ukemee.
Who cares?Hili litamvurugia pakubwa sana 2025.
Waarabu waarabu waaarabu waarabu waarabu waarabu...Tatizo vya Waarabu haviliwi bure, hapo unapigwa msako wa utatoa hutoi.
Basi wanaondolewa Masai lile eneo wapewe Wazungu. Happy now, Mwijaku?Waarabu waarabu waaarabu waarabu waarabu waarabu...
OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDERS na hao jamaa ?!! [emoji1787]
Mbona hamweleweki?!!!
Ni hayati JPM aliyewapa tenda ARAB CONTRACTORS wa MISRI kulijenga BWAWA LA UFUAJI UMEME MWALIMU NYERERE ......
Mnafeli wapi ?!! [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kitendawili. CCM watakitenguaTanzania tumekuwa na Mali asili nyingi na Mbuga za wanyama kibao.
Kwa miaka yoote hiyo hazina tija yoyote kwa Taifa.
Sasa kinachofanya tung'ang'anie ngoro×2 nini hadi tufukuzane kama Mwivi?
Ni hapohapo SELOUS ambapo miaka mingi nyuma WANDENGEREKO waliondolewa kupisha "NATIONAL PARK"...Basi wanaondolewa Masai lile eneo wapewe Wazungu. Happy now, Mwijaku?
Halafu Hayati Magufuli alivyowapa Tenda Waarabu waliondolewa kina nani pale msituni.
We jamaa zimo kweli kichwani? Mbona ni scenario mbili tofauti kabisa.
Uchaguzi wa Tanzania unategemea Kura?Hili litamvurugia pakubwa sana 2025.
Wamasai waliobaki porini wanao katalia uko hawajitambui kabisa kule maisha magumu badala kutoka kwenda sehem zenye huduma wao wamekomaa kuwapa wanasiasa ulaji kwa kujidai wana watetea ila ukweli ni kwamba kule Ngorongoro maisha ni ya hovyo tu na hakuna future kabisa kwa wakazi ni heri watoke wakaishi uraianiSuala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.