Ilo la umeme kasha shindwa zamani sana..hili la sukari nalo kaambiwa kazila ana kisirani uyu bibiKiongozi kama kashindwa la umeme na sukari.ataweza kweli
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
😂🤣Ilo la umeme kasha shindwa zamani sana..hili la sukari nalo kaambiwa kazila ana kisirani uyu bibi
Mnamuonea!!
Hakujiandaa kuwa Rais Wala hakua na vipaumbele vyake,malengo na hulka imekuja baada ya kupata!!
Ndio maana amepwaya coz akili haikujiandaa!
CCM ingemsaidia kumpumzisha lakini Kwa ujinga tulioukumbatia was kofia mbili ya uenyekiti na urais in one,inafanya process kuwa ngumu Hadi dark arts zitumike ndio tuweke mambo sawa!!
So sad!
Ana ziara Mwanza sasa kuna gari inapita mtaani kuwapa taarifa Wananchi juu ya ujio wake, hizo kelele sasa utadhani kuna promotion ya pombe!Rais Samia Ni dhaifu sna Ila anapendwa sna na wengi
Hili halihitaji tafiti
Je kwanin rais Samia Ana kubalika sna
Hapo alibugi Sana. Unampa mnyarwaanda nafasi nyeti Kama hiyo. Hayupo serious.
Hapo alibugi Sana. Unampa mnyarwaanda nafasi nyeti Kama hiyo. Hayupo serious.