Rais Ruto ateua Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) pamoja na Kamishina wapya

Rais Ruto ateua Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) pamoja na Kamishina wapya

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724) lililotolewa tarehe 10 Juni 2025, na umefuatiana na uteuzi wa maafisa sita wa IEBC kupitia Tangazo la Gazette No. 7725, pia tarehe hiyo hiyo

Maafisa wameteuliwa pia ni:

  1. Ann Njeri Nderitu
  2. Moses Alutalala Mukhwana
  3. Mary Karen Sorobit
  4. Hassan Noor Hassan
  5. Francis Odhiambo Aduol
  6. Fahima Araphat Abdallah


============================​

President Ruto appoints new IEBC Chair Erastus Ethekon, six Commissioners​

President William Ruto has now appointed Erastus Edung Ethekon as the new Chairperson of the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC).

The Head of State, in a gazette notice dated June 10, 2025, also appointed six new commissioners, among them Registrar of Political Parties Ann Njeri Nderitu.

The others are: Moses Alutalala Mukhwana, Mary Karen Sorobit, Hassan Noor Hassan, Francis Odhiambo Aduol, and Fahima Araphat Abdallah.

According to the notice, both the Chairperson and the Commissioneres will serve in their new roles for a period of six years.

This comes after the new electoral body team, which was nominated by President Ruto on May 8, was formally approved by the National Assembly last week following a vetting process.
 
Back
Top Bottom